Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

maendelezo au maendeleo?? makosa madogo madogo kama haya ndio yanatufelisha katika maisha yetu ya kilasiku.Tuyaepuke. Mimi ndio wa mwisho na mshindi.[emoji12] [emoji12]
Mshindi ni yule mwenye kusahihisha makosa kama DOKEZO !! ila ongeza juhudi hadi turiidhike..
 
turiidhike au turidhike?? tuache makosa hayo madogomadogo jamani na nimeshawaambia ushindi ni wangu mimi ndio [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji471] [emoji471] [emoji471]
 
Ndio makosa ya typing hayajalishi kuwa ni kosa.., wee mezea minor cases Ushindi utaupata ila hutokubalika ndani ya jamii.....
 
Back
Top Bottom