mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Duniani nimetembea ila sijaona kama wewe
Wewe Heaven on Earth wacha vituko
Duniani nimetembea ila sijaona kama wewe
Vituko vya uchekeshaji ni kiburudisho muhimu kwa ubongoWewe Heaven on Earth wacha vituko
Vituko vya warembo wetu Tanzania tunaongoza.......Wewe Heaven on Earth wacha vituko
Ubongo wa nzi upo kwenye mabawa yake rejea sayansi.....Vituko vya uchekeshaji ni kiburudisho muhimu kwa ubongo
Ubongo wenyewe umechokaVituko vya uchekeshaji ni kiburudisho muhimu kwa ubongo
Vituko vya uchekeshaji ni kiburudisho muhimu kwa ubongo
Ubongo wenyewe umechoka
Kufikiri kwako ni moja ya kubuni mambo ya biasharaUmechoka kufikiri
Sana sana bidhaa ziwe za viwango wateja watanunua kwa bei uitakayo.....Biashara ya mazao inalipa sana
Sana mazao ukivuna kwa wingi yanalipa vizuriBiashara ya mazao inalipa sana
Vizuri vyote unavyo ndugu yangu Mtebetini leo nakesha sikuachi ......Sana mazao ukivuna kwa wingi yanalipa vizuri
Vizuri vyote unavyo ndugu yangu Mtebetini leo nakesha sikuachi ......
Kapania kufa au kupona hata mgogo1 akichangia nitajitetea kutotii amri......Sikuachi? Duh Mtebetini kazi unayo ZZ kapania
Kapania kufa au kupona hata mgogo1 akichangia nitajitetea kutotii amri......
Chuma chakavu ni mkusanyiko wa magari mabovu .....Haivunjiki hata kwa chuma
Kwako na kwangu kote ni mchafukoge, labda tuhamia majuu.....Mabovu kama la kwako
Majuu hakuna maisha mazuri yapo TanzaniaKwako na kwangu kote ni mchafukoge, labda tuhamia majuu.....