Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Hakieleweki kizaza cha Omba omba jijini Dar, Serikali iwajali na kuwa tunza !!!Nini kilichoandikwa hakieleweki
Hakieleweki kizaza cha Omba omba jijini Dar, Serikali iwajali na kuwa tunza !!!Nini kilichoandikwa hakieleweki
Hakieleweki kotekote.... komaeni
Komaeni ktk hali hii ngumu iliyojitokeza.....Hakieleweki kotekote.... komaeni
Kiulaini nilichukuwa ushindi dhidi ya mpinzani wa kizungu !!Komaeni tu wengine kiulaini......
Hukuna mvua huku kwetu kukavu,,,,,kizungu zungu utapata na ushindi hakuna
kizungu zungu utapata na ushindi hakuna
Huu ndiyo uzi mzuri hapa JF wenyewe tunajifaraguwa kilugha ...!!!😛!!!Hakuna kuoneana mwaka huu
Kilugha yetu ya kiswahili cha kitanzania kwa mbwembwe na madahaHuu ndiyo uzi mzuri hapa JF wenyewe tunajifaraguwa kilugha ...!!!😛!!!
Madaha na mahaba nilimpa mke wangu alipo nikumbatia.....Kilugha yetu ya kiswahili cha kitanzania kwa mbwembwe na madaha
Alipo nikumbatia mwili ulisisimkaMadaha na mahaba nilimpa mke wangu alipo nikumbatia.....
Ulisisimka hisia za wagonjwa wa akili walipo mulikwa na mwanga mkali !!!Alipo nikumbatia mwili ulisisimka
Mkali ukimbeza pesa ndo kila kituUlisisimka hisia za wagonjwa wa akili walipo mulikwa na mwanga mkali !!!
Kitu duni hapa duniani ni ubahili na uchoyo......Mkali ukimbeza pesa ndo kila kitu
Kitu duni hapa duniani ni ubahili na uchoyo......
Mshindi wetu kaingi upya na kuibuka na tuzo !! Hongera mgogoone nimekupendelea.....Uchoyo gani ZZ? Nilikuwa likizo wa mwisho ndio Mshindi
Nimekupendelea wakati hukustahili ushindi kama Asante kotoko ya Ghana
Duniani ni wapiGhana ni nchi inayooongoza kwa kilimo cha kakao duniani.
Ghana ni nchi inayooongoza kwa kilimo cha kakao duniani.