Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Taifa lisihusishwe kwa kisingizio cha mbwembwe potevu za kitamaduni uwezo wetu ni mkubwa..Viwanjani kwetu kumejaa uchawi, rushwa na fujo haswa uwanja wa Taifa
Taifa lisihusishwe kwa kisingizio cha mbwembwe potevu za kitamaduni uwezo wetu ni mkubwa..Viwanjani kwetu kumejaa uchawi, rushwa na fujo haswa uwanja wa Taifa
Taifa lisihusishwe kwa kisingizio cha mbwembwe potevu za kitamaduni uwezo wetu ni mkubwa..
Ndoto hakiki ni ya wanamichezo wenyewe, na siyo kiongozi.. muhimu zimwagwe fedha kisawa...Mkubwa wa nchi mwenye sio mwanamichezo hivyo kupata maendeleo ya soka ni ndoto
Kisawa sawa zikimwagwa fedha wanamichezo watajitumaNdoto hakiki ni ya wanamichezo wenyewe, na siyo kiongozi.. muhimu zimwagwe fedha kisawa...
Watajituma kwa extra mile kama wenzao wa Ulaya kuna usemi huu nikukimbize ukiweza...?Kisawa sawa zikimwagwa fedha wanamichezo watajituma
Upya hawa anzi wataendelea walipoishiaukiweza anza upya
Pesa ndiyo mpango wote ktk karne hii, itabidi tutenge akaunti ya akiba !!Mawazo hayawez pungua kama mfukoni huna pesa
Ushindi usikutie wasi tutakukabidhi baada ya kuona mchango wako mahsusi...Walipoishia ndio ninapo anzia kuuchukua ushindi
Mahsusi kwa siku maalumUshindi usikutie wasi tutakukabidhi baada ya kuona mchango wako mahsusi...
Mahsusi kwa siku maalum
Tu,ni hiyo kodi iliyoshuka 2% badala ya kushushwa 5%Maalum ya siku ya Mei Day ni nyongeza ya mishahara tu.
Kwake mtumbuaji wa majipu5% haikutabiriwa na JK, ni 9% pekee ndio aliitabiri itawekwa na rais ajae na sifa zitakwenda kwake.
Kwake ameshusha kodi na mishahara aongeze5% haikutabiriwa na JK, ni 9% pekee ndio aliitabiri itawekwa na rais ajae na sifa zitakwenda kwake.
Aongeze vipi? sasa hiyo ni tamaa !! maana mwanadamu ukipewa kidole wataka mkono mzima.....Kwake ameshusha kodi na mishahara aongeze
Mzima Zurie ? Majipu yasikushughulishe wapo wapasuaji, Taifa linahitaji wajenzi.....Aongeze vipi? sasa hiyo ni tamaa !! maana mwanadamu ukipewa kidole wataka mkono mzima.....
Umasikini ni wetu na sisi ndiyo wenye jukumu la kuuondoa tusisubiri aje mtu kutoka nje kutuvuta .....Wajenzi ni mimi na wewe kwa pamoja tutatokomeza umaskini