Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Muongozo alioutoa Mtebetini nimeupokea vizuri nami namuunga mkono,.. Haipendezi hata kidogo unapobadilisha jina halisia la kitu au mtu eti kwa ajili ya kwenda na wakati (swaga) tusiwe tunapotosha mambo.
 
Thamani ya kitu ni kuenzi uhalisia wa kile kilichoanzishwa na waasisi wa jina la maji, kitu au mtu kwakua walikua na sababu au maana ya jina hilo, sasa ukianzisha swaga zinazopoteza maana halisi ni kupoteza historia.
Historia imeandkiwa jana baada ua Leicester kutawazwa mabingwa wa EPL
 
Back
Top Bottom