Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Jipu limeiva haswaa, nashangaa kwa nini linafumbiwa macho
Macho yapo busy kuangalia majipu ya bandarini, tra, tic na watumishi hewa nk hili pia la uhuru wa kupata habari ni kuwanyima rai haki yao ya msingi na bajet hivi punde zimeanza kujadiliwa hili limeshakuwa ni likidonda maana jipu limepasuka lenyewe limeacha kidonda
 
Kidonda na jeraha linaacha kovu lisilosahaulika wananchi hawatosahau kubabaishwa....
 
Back
Top Bottom