Ilala ni wilaya tajiri Dar-es-salaam Lakini maendeleo ni finyu.Utete ni mtaa uliomba ilala karibu na soko la ilala
Finyu viongozi sio wabunifuIlala ni wilaya tajiri Dar-es-salaam Lakini maendeleo ni finyu.
Wabunifu umenikumbusha mdenge Stan maarufu Kipozeao.Finyu viongozi sio wabunifu
Wetu utamaduni inabidi kuutunzaWabunifu tatizo wananchi atutoi ushirikiano wa kutosha kwa viongozi wetu
Kuutunza utamaduni wetu tuanze Na watoto wetuWetu utamaduni inabidi kuutunza
wetu mfuko wa jumuiya tusipoujali tutakwama kielimu....Kuutunza utamaduni wetu tuanze Na watoto wetu
Watoto wetu wanakopi kila kitu kutoka kwenye LuningaKuutunza utamaduni wetu tuanze Na watoto wetu
Luninga inachangia kuharibu maadiliWatoto wetu wanakopi kila kitu kutoka kwenye Luninga
Kike umekurupukia wapi ? siungelisoma masharti ya uzi huu unaojiri....Pili ni jina la mtoto wa kike
Maadili dadangu hayanunuliwi..maadili ni wajibu wa mzazi au mlezi kuwajibisha wanafamilia kutendaLuninga inachangia kuharibu maadili
Kutenda ni neno muhimu katika maisha.Maadili dadangu hayanunuliwi..maadili ni wajibu wa mzazi au mlezi kuwajibisha wanafamilia kutenda
Maisha yangu bila wewe siweziKutenda ni neno muhimu katika maisha.
Siwezi kweli Kwa sababu MnyeeziMungu peke yake anauwezo.Maisha yangu bila wewe siwezi
Anauwezo wakubadilisha uhai kuwa mauti na kubadilisha mchana kuwa usikuSiwezi kweli Kwa sababu MnyeeziMungu peke yake anauwezo.
Siwezi kulipa mimi na aliyekula ni mwingine....Maisha yangu bila wewe siwezi
Mwingine akaja akasema yaleyale ya yule alietangulia....hapo ndo nikajua kuwa ni heri kusikiliza kwanza kuliko kupayukaSiwezi kulipa mimi na aliyekula ni mwingine....