and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Mhe. Mhebetini aliyekuwa General Manager Kebby's Hotel Mwenge kaula U-DC Chato.
Chato ndio Rais wasasa Tanzania alipo zaliwa Na kuishiMhe. Mhebetini aliyekuwa General Manager Kebby's Hotel Mwenge kaula U-DC Chato.
KICHARAZO ni jambo la kheri ktk kuwekana sawa kitabia.Mtebetini?duh Sasa hicho kikao kilikuwa cha siri.
Maana wapiga kura tulifichwa nyuma ya KICHARAZO.
Kicharazo! Duh! Aisee hii kali hiiMtebetini?duh Sasa hicho kikao kilikuwa cha siri.
Maana wapiga kura tulifichwa nyuma ya KICHARAZO.
Hii ni dalili ya kwamba huu uzi bado sana kufikia mwisho.Kicharazo! Duh! Aisee hii kali hii
Kali hii? Wacha bhana nilifikiri ni butuKicharazo! Duh! Aisee hii kali hii
Butu ni nzuri zaidi kwa sababu kali hutumbua majipu kwa hasira sana.Kali hii? Wacha bhana nilifikiri ni butu
Sana walipokuwa wakikimbia baada ya kutumbuliwa majibuButu ni nzuri zaidi kwa sababu kali hutumbua majipu kwa hasira sana.
Sana Mkuu saiditawani unapoingia kwenye Uzi huu Jaribu kuperuzi uone bandiko la mwisho limeandikwa nini nawe unganisha toka kwenye hilo bandikoButu ni nzuri zaidi kwa sababu kali hutumbua majipu kwa hasira sana.
Hasira sana nakimbia jukwaa la siasa Na la udini na kimbilia jukwaa la chemsha bongo maana hili jukwaa sote tunachangia Kwa furaha ya uTanzania.Butu ni nzuri zaidi kwa sababu kali hutumbua majipu kwa hasira sana.
Bandiko la siku hizi Ni kutumbuliwa tuu kwa viongozi na vigogo wakubwa wakubwaSana Mkuu saiditawani unapoingia kwenye Uzi huu Jaribu kuperuzi uone bandiko la mwisho limeandikwa nini nawe unganisha toka kwenye hilo bandiko
UTanzania tulionao sisi Ni wa kinafiki Sana Sana viongozi wetu ukiwasikia wakati wanaomba Kura Ni tofauti Na wanayoyatenda hivi sasaHasira sana nakimbia jukwaa la siasa Na la udini na kimbilia jukwaa la chemsha bongo maana hili jukwaa sote tunachangia Kwa furaha ya uTanzania.
wakubwa wengine wanaumia sana wenzao wakitumbuliwa,wanahofia zamu yao ikifika itakuajeBandiko la siku hizi Ni kutumbuliwa tuu kwa viongozi na vigogo wakubwa wakubwa
Sasa sisi tukiwa kama Watanzania nini kifanyike ili kuboresha hali hii?UTanzania tulionao sisi Ni wa kinafiki Sana Sana viongozi wetu ukiwasikia wakati wanaomba Kura Ni tofauti Na wanayoyatenda hivi sasa
Sasa Murefu lazima tuendelee bila ya kulaumuUTanzania tulionao sisi Ni wa kinafiki Sana Sana viongozi wetu ukiwasikia wakati wanaomba Kura Ni tofauti Na wanayoyatenda hivi sasa
Hii Hali inabadilika Saiditawani lazima tuanza Na vitu tunavyo viweza.Sasa sisi tukiwa kama Watanzania nini kifanyike ili kuboresha hali hii?
Viweza vitu gani ikiwa hii ndio kwanza tunaanza Na niatua nzuri Sana hiiHii Hali inabadilika Saiditawani lazima tuanza Na vitu tunavyo viweza.