mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Kiponjoro ni kihindi.Tumetoka kwenye mtama Sasa mahindiHiyo kushnei ni kiponjoro
Kiponjoro ni kihindi.Tumetoka kwenye mtama Sasa mahindiHiyo kushnei ni kiponjoro
Mahindi yako ya kila ainaKiponjoro ni kihindi.Tumetoka kwenye mtama Sasa mahindi
Mahindi yako ya kila aina
Kukicha kila mtu spidi ukimuuliza atakwambia yupo bizeaina ya magari inaongeza kila kukicha
Kukicha kila mtu spidi ukimuuliza atakwambia yupo bize
Wapi kwani bize imeelezwa kama ni eneobize ndio wapi?
Eneo lipi mkuu
Kazi tu ndiyo msingi wa maendeleomkuu wa kaya anasema hapa kazi tu
Maendeleo hayaji kwa kushinda vijiweni na kupiga sogaKazi tu ndiyo msingi wa maendeleo
Unyampara ni nini?mi huwa sielewi vizuri matumizi sahihi ya neno hiliKihistoria waafrika ni wachapa kazi ila wanahitaji unyapara
Hili nalo ni jipu maana wengi tumekuwa adicted !!Unyampara ni nini?mi huwa sielewi vizuri matumizi sahihi ya neno hili
Hili linaweza kupasukaHili nalo ni jipu maana wengi tumekuwa adicted !!
Hili
Kupasuka kwa tairi la mbele hulisababisha gari kupinduka....Hili linaweza kupasuka
Hili linaweza kupasukaHili nalo ni jipu maana wengi tumekuwa adicted !!
Hili
Kupasuka hivi hivi haiwezekani labda upulizeHili linaweza kupasuka
Upulize nini mkia wa kuku.Kupasuka hivi hivi haiwezekani labda upulize
Kuku wa sikuhizi ni hatari kuwala maana wanalishwa chakula chenye kusababisha maeradhi na magonjwa yasiyoelewekaUpulize nini mkia wa kuku.