mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Sawa nilipa kigugumuzi nikafikiri nimerudi kwenye ubishi.Yao mapesa wameyaficha Uswis na mkulu anajua, tumpe muda aweke mambo sawa
Sawa nilipa kigugumuzi nikafikiri nimerudi kwenye ubishi.Yao mapesa wameyaficha Uswis na mkulu anajua, tumpe muda aweke mambo sawa
Inanyesha wapi mkuu ukame kila mahaliTulivu labda mvua iwe inanyesha!
Sawa nilipa kigugumuzi nikafikiri nimerudi kwenye ubishi.
Kutokuelewa ndio kunakuja sintofamamuUbishi ukizidi humfanya mtu kutokuelewa
Sintofahamu ni dalili za kutokufikiri kwa undaniKutokuelewa ndio kunakuja sintofamamu
Undani Wa mwandani aujuae ni mwandani wakeSintofahamu ni dalili za kutokufikiri kwa undani
Wake kwa waume mazao bora hupatikana shambani.Undani Wa mwandani aujuae ni mwandani wake
Shambani ndio watu hudharau lakini bila mashamba Na wakulima sijui ingekuwaje?Wake kwa waume mazao bora hupatikana shambani.
Ingekuwaje ukiamka asubuhi na kukuta asubuhi haipoShambani ndio watu hudharau lakini bila mashamba Na wakulima sijui ingekuwaje?
Haipo imeenda wapi?Ingekuwaje ukiamka asubuhi na kukuta asubuhi haipo
Wapi naweza pata unga wa mtamaHaipo imeenda wapi?
wapi naweza pata QsHaipo imeenda wapi?
Qs gani tena Kaboom? Au unafikiri utashinda? Hakuna kushindawapi naweza pata Qs
Unga wa mtama? kweni wewe Mainus unapikaga ugali wa mtamaWapi naweza pata unga wa mtama
Wenyewe mmebwaga manyangamtama unga wake kwa ugal ndo wenyewe
Manyanga gani tena?Wenyewe mmebwaga manyanga
Tena wanabodi wote kushneiManyanga gani tena?
Kushnei ni lugha gani hiyoTena wanabodi wote kushnei
Hiyo kushnei ni kiponjoroKushnei ni lugha gani hiyo