Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,614
- 64,469
Gobore ni bunduki ile ya kizamani, wengi wakiitumia kuwindia.Nikuliwaze wakati hapo juu wanataka kujua kuhusu gobore.
Gobore ni bunduki ile ya kizamani, wengi wakiitumia kuwindia.Nikuliwaze wakati hapo juu wanataka kujua kuhusu gobore.
Gobore niachie mie nitawakabidhi mwenyewe, Wewe tupe mbili tatuNikuliwaze wakati hapo juu wanataka kujua kuhusu gobore.
Kuwindia wale kwale au bata mzinga wa IndiaGobore ni bunduki ile ya kizamani, wengi wakiitumia kuwindia.
Sharukhan yaweza kuwa mmoja tu, ila India ni bara kubwa lenye idadi ya watu bilioniIndia kwa akina sharukhan
Billion 6 za kitanzania zinaweza kuleta maendeleoSharukhan yaweza kuwa mmoja tu, ila India ni bara kubwa lenye idadi ya watu bilioni
bilioni ni ndogo sana kulinganisha na mkwanja aliopiga lowasa kwenye richmondSharukhan yaweza kuwa mmoja tu, ila India ni bara kubwa lenye idadi ya watu bilioni
Maendeleo huletwa na viongozi waadilifu na wenye uaminifuBillion 6 za kitanzania zinaweza kuleta maendeleo
Richmond ni kovu llenye baka kwa kila mwanasiasa wa tanzaniabilioni ni ndogo sana kulinganisha na mkwanja aliopiga lowasa kwenye richmond
Uaminifu huleta heshimaMaendeleo huletwa na viongozi waadilifu na wenye uaminifu
Tanzania ya leo sio ya janaRichmond ni kovu llenye baka kwa kila mwanasiasa wa tanzania
Jana sikuweza hudhuria kikao cha wajumbeTanzania ya leo sio ya jana
wajumbe hawakuja waliogopa kutumbuliwaJana sikuweza hudhuria kikao cha wajumbe
Kutumbuliwa kwenyewe kwa msimuwajumbe hawakuja waliogopa kutumbuliwa
Wajumbe wahakufikia idadi kikao kikahairishwaJana sikuweza hudhuria kikao cha wajumbe
Kutumbuliwa jipu kunauma kama jipu lenyewe halijaiva vizuriwajumbe hawakuja waliogopa kutumbuliwa
Vizuri kuwa na muda wa kutembelea marafikiKutumbuliwa jipu kunauma kama jipu lenyewe halijaiva vizuri
Kikaahirishwa hadi jumatatu ijayo watakapo hudhuriaWajumbe wahakufikia idadi kikao kikahairishwa
Marafiki wa siku hizi ni wa masilahiVizuri kuwa na muda wa kutembelea marafiki
Maslahi mazuri utayapata serikaliniMarafiki wa siku hizi ni wa masilahi
