Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hudhuria wewe leo mie sijisikii vizuriKikaahirishwa hadi jumatatu ijayo watakapo hudhuria
Hudhuria wewe leo mie sijisikii vizuriKikaahirishwa hadi jumatatu ijayo watakapo hudhuria
Heshima bar habari ya mjiniUaminifu huleta heshima
Serikalini kuna kero ya kutumbuliwa !!Maslahi mazuri utayapata serikalini![]()
Vizuri tukitoka OUTING pamoja nisjie nyakuliwa na akina DP !!!😛Hudhuria wewe leo mie sijisikii vizuri
Yako na yake yamefanana haswa ila bei zake ndo tofautiKutumbuliwa ndio njia nyepesi ya kukumbushwa majukumu yako
DP ndio niniVizuri tukitoka OUTING pamoja nisjie nyakuliwa na akina DP !!!😛
Nini hukulijua ? huko mjini wanalitumia neno DP yaani Dada Powa !!!DP ndio nini
Dads powa wa dar es salam watamu.Nini hukulijua ? huko mjini wanalitumia neno DP yaani Dada Powa !!!
Wataamu wale kuku roasted wa Sauzi !!Dads powa wa dar es salam watamu.
Sauzi sipapendi alifia marehemu Ngwea.Wataamu wale kuku roasted wa Sauzi !!
Ngwea marehemu kufia huko ndiyo umepasusa kwani nani ataishi milele?Sauzi sipapendi alifia marehemu Ngwea.
Tena naskia shinyanga hakuna mkuu wa mkoa.Ngwea hayupo hai tena
Mkoa gani hapa nchini una mziwa matatu ?Tena naskia shinyanga hakuna mkuu wa mkoa.
Matatu ni usafiri mzuri kwetu kenya.Mkoa gani hapa nchini una mziwa matatu ?
Maziwa matatu yako MwanzaMkoa gani hapa nchini una mziwa matatu ?
Kenya ni Nchi ya harambee..., Afrika inatambulishwa na kenyans zaidi !!Matatu ni usafiri mzuri kwetu kenya.