rutabazi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 497
- 294
Ukikipoteza ni si rahisi kukipata tenaThamani ya kitu utaijua ukikipoteza
Ukikipoteza ni si rahisi kukipata tenaThamani ya kitu utaijua ukikipoteza
Tena ukichelewa hutamkutaUkikipoteza ni si rahisi kukipata tena
Maana anahitaji elimu ndio msingi wa maishaUkikipoteza chenye thamani utakuwa siyo wa maana !!
Hutamkuta ZZ kwa kuwa wajanja wengi ...Tena ukichelewa hutamkuta
Hutamkuta muda ni maliTena ukichelewa hutamkuta
Maisha huisha siku ya mwisho maishaMaana anahitaji elimu ndio msingi wa maisha
Mali huzaa mali tafuta wapi mwenye maliHutamkuta muda ni mali
Wengi wapeHutamkuta ZZ kwa kuwa wajanja wengi ...
Wengi wapeHutamkuta ZZ kwa kuwa wajanja wengi ...
Mali za kurithi zina tesaMali huzaa mali tafuta wapi mwenye mali
Mali ukiyataka utayapata shambaniHutamkuta muda ni mali
Wape mazuri watakukumbuka kwa wema kishaondoka waachie yaoWengi wape
Tesa za mahospitali ni ukosefu wa madakatari Bingwa !!Mali za kurithi zina tesa
Tesa sabuni nzuriMali za kurithi zina tesa
Mzuri kwako kwa wengine je?Tesa sabuni nzuri
haipo ndani ya maduka ya rejareja, ila kiwandani inapatikanaNzuri lakini haipo
Nzuri hushindana na Murua, japo yote ina maana mojaJe! Nao wakisema nzuri?
Inapatikana kwa wajanja tu washamba sijuihaipo ndani ya maduka ya rejareja, ila kiwandani inapatikana