kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Mwanza jiji zuri sana i love mwanzaMaziwa matatu yako Mwanza
Mwanza jiji zuri sana i love mwanzaMaziwa matatu yako Mwanza
Mwanza hakuna maziwa matatu bhana usizuge... Labda useme Rukwa !!Maziwa matatu yako Mwanza
Mawazo mazuri hupatikana kwa wenye hekima na busaralock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Yamebomoka majengo kadhaa baada ya mvua kubwa na mafuriko !!Matatu yamebomoka
Busara utaipata kwa watu wazima, ila hekima ipo kwa wasomi...Mawazo mazuri hupatikana kwa wenye hekima na busara
Kuzuri kwa mwenye kupafahamu ila mgeni bila mwenyeji sidhaniRukwa ni kuzuri
sidhani kama kuna sehemu mbaya kama rukwa....ina wachawi kibao!Kuzuri kwa mwenye kupafahamu ila mgeni bila mwenyeji sidhani
Kibao chako kimenilaza chali Zamaulid umekuja nakupishasidhani kama kuna sehemu mbaya kama rukwa....ina wachawi kibao!
Tena akienda haruhusiwi kurudiNakupisha uende ila usirudi tena.
Tena abaki huko huko hakuna anayemhitajiNakupisha uende ila usirudi tena.
Asinukuliwe hata na gazeti la udakuKurudi kwake kutamfanya asinukuliwe
Nakupisha upambane na zamaladiKibao chako kimenilaza chali Zamaulid umekuja nakupisha
Uzi bado upo juuUmekwisha utamu wa uhu Uzi
wakubwa tunafaidi sanaJuu ya kitanda Kuna michezo hatari ya wakubwa