mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
UDSM ni kifupisho cha neno ganiShukurani Mbirigenda nu lecture mzuri sana pale IDS UDSM
UDSM ni kifupisho cha neno ganiShukurani Mbirigenda nu lecture mzuri sana pale IDS UDSM
Simba karabu uzi naona unaparaganya...Imara kama simba
Mno wa nini ikiwa bingwa kwa miaka mitano mfululizoBarcelona wanabebwa mno
Mfululizo mmemnyima ushindi mtu aliyemaliza na sentesi tu! Mnashangaza sana yaani tuMno wa nini ikiwa bingwa kwa miaka mitano mfululizo
tu haitoshi kumpa mtu ushindi uliyo pungua kitoweoMfululizo mmemnyima ushindi mtu aliyemaliza na sentesi tu! Mnashangaza sana yaani tu
Kuku si lolote mbele ya Nyama ya Ng'ombeKitoweo cha samaki au kuku?
Ng'ombe wanatumia nguvu nyingi katika maamuzi kuliko akiliKuku si lolote mbele ya Nyama ya Ng'ombe
Akili ni nywele kila mtu ana zakeNg'ombe wanatumia nguvu nyingi katika maamuzi kuliko akili
Zake zilipotimia hakuweza jitetea mahakamaniAkili ni nywele kila mtu ana zake
Mahakamani ukipandishwa unashindwa kujitetea kwa kutetemekaZake zilipotimia hakuweza jitetea mahakamani
Kutetemeka kwani kuna baridi kali hapo mahakama ?Mahakamani ukipandishwa unashindwa kujitetea kwa kutetemeka
Mahakamani hata kama hakuna baridi uwoga utakutetemeshaKutetemeka kwani kuna baridi kali hapo mahakama ?
Utakutetemesha kishindo cha kuvamiwa ghaflaMahakamani hata kama hakuna baridi uwoga utakutetemesha
Game over,Hatuwezi kumaliza game kwa kuchanganya lugha, kwa sababu ukiweka kichina wengine hatukielewi ndio maana hatukuendeleza. Ngoja nimtafute mwanzisha thread. Ataiona kwenye alert zake.
mwingine kivipi? kwani umekuwa jinni ujikute huko bila sababu?Ghafla tu unajikuta uko ulimwengu mwingine