HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Tuchakarike mambo yasije tuendea kombo
Tuchakarike mambo yasije tuendea kombo
Kombo litaendaje wakati nguvu kazi ni awamu ya tano hii serikaliTuchakarike mambo yasije tuendea kombo
Zamani nilipokuwa Dar, mzee jongo ndiye balozi mtaani kwetuKombo alikua jirani yangu miaka hiyo ya zamani
Kwetu pazur nimeshapakumbuka...Zamani nilipokuwa Dar, mzee jongo ndiye balozi mtaani kwetu

Nimeshapakumbuka kule juu ya Mlima tulipokuwa peke yetuKwetu pazur nimeshapakumbuka...![]()
![]()
Yetu Mimi na wewe,wengine haiwahusuNimeshapakumbuka kule juu ya Mlima tulipokuwa peke yetu
Haiwahusu wenye akili, ila mafedhuli watachunguliaYetu Mimi na wewe,wengine haiwahusu
!!!!!!!!!!!!!!!!! ndo nini?? unalazimisha ushindiNitangaze ushindi.. au kuna atakae jaribu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ushindi umekuboa..hadi umechemka, haya jitokezeni 😀!!!!!!!!!!!!!!!!! ndo nini?? unalazimisha ushindi
Mwisho wa mtaa huu ni kwa akina Mama maendeleoJitokezeni tuone nani atakua wa mwisho
Utegemezi ni kama msumeno, kila upande na msukumo una chongamaendeleo hupatikana kwa kuondokana na utegemezi
Kudharaulika haupo kwa waAfrika pekee, kila taifa lina mapungufuUtegemezi uliopitiliza ndo chanzo cha waafrica kudharaulika.
Manyanyaso huletwa na utawala dhaifuKudharaulika kwingi ndo chanzo cha manyanyaso
Dhaifu ni wale viongozi wenye majipuManyanyaso huletwa na utawala dhaifu