ashrafshu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 302
- 142
Kizungu zungu kimemshinda recho utakiweza ww mtebetinNjaa inapokubana utahisi kizunguzungu
Kizungu zungu kimemshinda recho utakiweza ww mtebetinNjaa inapokubana utahisi kizunguzungu
Dah ni dar au ndo daahMtebetin dah
Daah hapa sasa majangaDah ni dar au ndo daah
Sana kama shida ya ukalala ukweniDaah ni shida sana.
Kwenu Bashalona mnabebwa subirini mechi ya marudianoUkweni hakuna Shida kwani ni kama kwenu
Marudiano sawa Bitoz hapo juu Bashalona umechapiaKwenu Bashalona mnabebwa subirini mechi ya marudiano

Marudiano sawa Bitoz hapo juu Bashalona umechapia
![]()
![]()
Zinamsumbuwa pengine alikuwa na haraka ya kuandikaHajachapia ni khulka za kipunguani zinamsumbuwa.
Wakakichakachua kirobota cha mitumba bila mwenyewe kutambuahahaa, ile gemu haiwezi pata mshindi kwa kua haina refa, labda tumwombe moderator mmoja awe refa, kuna jamaa alimalizia kwa kichina ila bado wakakichakachua!!
Ficiemu chama kubwa
Kuandika niandike Mimi tafsiri mtoe nyinyi....niimesema ni BASHALONA sasa wewe na kibibi Faiza jifanyeni mnajuaZinamsumbuwa pengine alikuwa na haraka ya kuandika
Tu mbogele tumbogele tumbogele
hahaa, ile gemu haiwezi pata mshindi kwa kua haina refa, labda tumwombe moderator mmoja awe refa, kuna jamaa alimalizia kwa kichina ila bado wakakichakachua!!
Habari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Tutusa humu ndani ni mmoja tu!
imekwisha tambulika kuwa baadhi wanaSiasa wa bongo ni washirikinaMkuu Wambuzi njoo upulize kipenga cha kumaliza game hapa. Watu tumefikiria neno la kumaliza hii game uliyoanzisha tukalipata, lakini naona watu wameendelea kuchakachua. Sema kama hapa chini haionyeshi hii game sasa imekwisha;