Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Majipu yanatabia ya kuambukizana na kujitokezaDhaifu ni wale viongozi wenye majipu
Majipu yanatabia ya kuambukizana na kujitokezaDhaifu ni wale viongozi wenye majipu
Kujitokeza bila kuitwa ni kujipendekezaMajipu yanatabia ya kuambukizana na kujitokeza
Kujipendekeza ni mfumo unao wanyanyuwa juu wapambeKujitokeza bila kuitwa ni kujipendekeza
Wapambe wakizidi lazima shughuri iharibikeKujipendekeza ni mfumo unao wanyanyuwa juu wapambe
iharibike shughuli si kitu, ila isiharibike chakula..patatokea mtaharukiWapambe wakizidi lazima shughuri iharibike
Mtaharuki utakukuta wewe Zamiluni Zamiluniiharibike shughuli si kitu, ila isiharibike chakula..patatokea mtaharuki
Zamy humtegemea wakili wake amaizing panapotokea mashtakaMtaharuki utakukuta wewe Zamiluni Zamiluni
Uthibitisho kuwa umeparamia kujibu bila kuelewa mwendelezo wa uzi huuAnachepuka sana tu ila sina uthibitisho
Jamani mtafedheheka kujipakaa maudongoKufosi sio kuzuri jamani
Wapi? sii hayo maMake-up ni maudongo ya makaburiniMaudongo ya wapi?
Sana wanatishika wale wasiyo imani imara..Makaburini kunatisha sana
Imara kama simbaSana wanatishika wale wasiyo imani imara..
5 ni namba yenye bahati duniani.Tu si unakijua hiki kibibi kulog in tu kinachukua dk 5
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Shukurani Mbirigenda nu lecture mzuri sana pale IDS UDSMDuniani tenda wema uende zako usingoje shukurani