oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Uliopitiliza ni kielezi au kivumishi ?Sababu ya uoga uliopitiliza
Uliopitiliza ni kielezi au kivumishi ?Sababu ya uoga uliopitiliza
Kielezi cha maelezo au utambuziKivumishi? hicho ni kielezi
Hukwenda kumsalimia mwalim mkuuKinaitwaje? Kwani we shule hukwenda?
Bure bure humfanya mtu kujisaahauKumsubiria ni sawa na kazi bure
Kujisahau hakutakiwi zama hizi!Bure bure humfanya mtu kujisaahau
Wanapenda sana kuharibu mtiririko Wa Uzi huu watu kama haoKukazwa ndo watu wanapenda
Wanapenda kula bila kulipa, wadada siku hizi wameishtukiaKukazwa ndo watu wanapenda
hao ndiyo walivyo, hata ukuwafundishaWanapenda sana kuharibu mtiririko Wa Uzi huu watu kama hao
Filisi ni kwa mali na mtaji, lakini ile ni always freshWameishtukia kwakua mtawa filisi
Fresh kitu gani mbona mi naona mgandoFilisi ni kwa mali na mtaji, lakini ile ni always fresh
Mgando hutokana na utunzaji mbovu, ila watafute wenye manukatoFresh kitu gani mbona mi naona mgando
Manukato mazuri kama mpira wa BarcelonaMgando hutokana na utunzaji mbovu, ila watafute wenye manukato