Ugenini tutashinda sababu naiamini BarcelonaBarcelona na real sociedad mechi ngumu hasa barca akiwa ugenini
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Ugenini alafu ukiwa kikojozi huwezi pata usingiziBarcelona na real sociedad mechi ngumu hasa barca akiwa ugenini
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
usingizi unaupata ila ndio wamachale machaleUgenini alafu ukiwa kikojozi huwezi pata usingizi
Machale yakipitiwa kidogo tu unalimwaga kojo moja matata sanausingizi unaupata ila ndio wamachale machale
matata sana watu wenye mtazamo mmoja....Machale yakipitiwa kidogo tu unalimwaga kojo moja matata sana
mmoja wao bado ana randaranda mtaanimatata sana watu wenye mtazamo mmoja....
mtaani kwao kuna mtafaruku wa maambukizo ya cholerammoja wao bado ana randaranda mtaani
cholera ni ugonjwa hatari sanamtaani kwao kuna mtafaruku wa maambukizo ya cholera
Sana'a ni ni mji mkuu Wa Yemen..cholera ni ugonjwa hatari sana
Yemen sawa tunaujua. Ila huu uzi hauna mwisho bora muniachie ushindi tuuSana'a ni ni mji mkuu Wa Yemen..
Bunduki wamakonde wanaita pundukiTuu tuu tuu kama mlio wa bunduki.
Punduki ndiyo iliyomponza jambbazi alipovamiwa na polisiBunduki wamakonde wanaita punduki
Ulozi upo Serikalini maana wanabeba mizigo ktk ufanisi wa kuwajibikaPolisi hawapo siriazi mpaka wanauawa na wezi hii ni zaidi ya ulozi
Kuwajibika ni lazima usipo wajibika ole wako utakumbwa na Fabio la Chuma.Ulozi upo Serikalini maana wanabeba mizigo ktk ufanisi wa kuwajibika
Chuma iliyopatikana katika rasilimali za nchi hi... yaweza dumu kia mie nane..Kuwajibika ni lazima usipo wajibika ole wako utakumbwa na Fabio la Chuma.
Nane ni kidogo inaweza kuwa hata elfuChuma iliyopatikana katika rasilimali za nchi hi... yaweza dumu kia mie nane..
Elfu moja ya zamani ilikuwa ina maana na uwezo mkubwa kuliko milioni tisa za leo !!!Nane ni kidogo inaweza kuwa hata elfu