Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Sadifa, Sudfa alikutana na mwenza katika burudaniWake wanamchanganya sana mzee yusuph na sadifa
Sadifa, Sudfa alikutana na mwenza katika burudaniWake wanamchanganya sana mzee yusuph na sadifa
Maskini ktk nchi nyingi hawathaminiwiMawazo mgando yanaifanya Tanzania iwe maskini
Hawathaminiwi hapa kwetu tu !! ila huko majuu maskini wanawajaliMaskini ktk nchi nyingi hawathaminiwi
Shule zina tofautiana, japo lugha hii ni moja maelewano yatakuwepoKuandika kwa umakini ni uzoefu kwa kila mtu aliyepitia shule.
Yatakuwepo maelewano mazuri ktk jamii ya watu wastaarabu na walioelimika.Shule zina tofautiana, japo lugha hii ni moja maelewano yatakuwepo
Walioelimika katika ulimwengu wa tatu, wengi wao ni malimbukeniYatakuwepo maelewano mazuri ktk jamii ya watu wastaarabu na walioelimika.
Kuandika niandike Mimi tafsiri mtoe nyinyi....niimesema ni BASHALONA sasa wewe na kibibi Faiza jifanyeni mnajua
Umekumiliki ujuha wa kizamani, japo sijakukusudia hadharatakKanisome tena utanielewa tu. Nilijuwa hujakosea bali ni upunguani tu umekumiliki.
Umekumiliki unoko tu....wewe m'bibi magumashi sanaKanisome tena utanielewa tu. Nilijuwa hujakosea bali ni upunguani tu umekumiliki.
Sanasana ni laptop ya kuazima tu.....Umekumiliki unoko tu....wewe m'bibi magumashi sana![]()
Tu si unakijua hiki kibibi kulog in tu kinachukua dk 5Sanasana ni laptop ya kuazima tu.....
Dakika 5? Basi mnunulieni miwani maana hakuna namna sasaTu si unakijua hiki kibibi kulog in tu kinachukua dk 5
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sasa si kataiuza ili kinunulie ugoroDakika 5? Basi mnunulieni miwani maana hakuna namna sasa
Ugoro nao ni tatizo lake kubwa, sijui kama ataweza kuachaSasa si kataiuza ili kinunulie ugoro
Kuacha sitaacha utabaki kuumia roho tu.Ugoro nao ni tatizo lake kubwa, sijui kama ataweza kuacha
Na huku mpo President na vice PresidentDakika 5? Basi mnunulieni miwani maana hakuna namna sasa
Sasa si kataiuza ili kinunulie ugoro
Presidaa na makamu wake lazima wawepo kila sehemuNa huku mpo President na vice President