Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Ndo vizuri hivyo.Presidaa na makamu wake lazima wawepo kila sehemu
Ndo vizuri hivyo.Presidaa na makamu wake lazima wawepo kila sehemu
Sehemu kubwa ya uchumi Wa Rwanda unategemea TanzaniaPresidaa na makamu wake lazima wawepo kila sehemu
Tanzania watu wanapiga tu, kama shamba la bibiSehemu kubwa ya uchumi Wa Rwanda unategemea Tanzania
Barcelona kivipi??huku ni Man uBarcelona
Barcelona kivipi??huku ni Man u
Losers ni ChelseaMan U = losers
Chelsea a.k.a THE BLAUZLosers ni Chelsea
The blauzi is dirty bhana umejimwagia mchuziChelsea a.k.a THE BLAUZ
Mchuzi wa samakiThe blauzi is dirty bhana umejimwagia mchuzi
samaki wa musoma ni watamu sanaMchuzi wa samaki
samaki wa musoma ni watamu sana
Mwanza Jiji la pili kwa ukubwa Tanzania,ingawa jiji hili lina chuo kikuu kimoja tu.Sana kuzidi wa Mwanza???
Sana kuzidi wa Mwanza???
Tu (2)kwa kiengereza ni mbili.. na tu (2) kwa kiMombasa ni tigoMwanza Jiji la pili kwa ukubwa Tanzania,ingawa jiji hili lina chuo kikuu kimoja tu.
Mwanza Jiji la pili kwa ukubwa Tanzania,ingawa jiji hili lina chuo kikuu kimoja tu.
Tigo ni mtandao unaopendwa na wengiTu (2)kwa kiengereza ni mbili.. na tu (2) kwa kiMombasa ni tigo
wengi wetu humu jamii forum tuna uwezo mdogo wa kupambanua mambo kiundaniTigo ni mtandao unaopendwa na wengi
Wengi wape..ni methali maridhawaTigo ni mtandao unaopendwa na wengi
kiundani huyu mgonjwa ana kinyongo na daktariwengi wetu humu jamii forum tuna uwezo mdogo wa kupambanua mambo kiundani