Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
washirikina umewajuaje kama sio na wewe ni mshirikina
Mshirikina mmoja aliwakashifu na kuandika katika gazeti la udakuwashirikina umewajuaje kama sio na wewe ni mshirikina
Udaku ni nin?Mshirikina mmoja aliwakashifu na kuandika katika gazeti la udaku
nin ni maini !!Udaku ni nin?
Maini!! Au kwa maana hii __ ._ .. _. ..nin ni maini !!
Hii ili maanisha usafiri wa bahari na siyo usafiri wa angaMaini!! Au kwa maana hii __ ._ .. _. ..
Bibi yako ndiyo alikuwa mlezi wa kituo cha yatima?Angani mitaa ya bibi
Yatima ni watoto waliofiwa na wazazi waoBibi yako ndiyo alikuwa mlezi wa kituo cha yatima?
Wao, wafikapo umri wa miaka 14 sifa ya uyatima hutowekaYatima ni watoto waliofiwa na wazazi wao
Nini ning'inia ufeHutoweka kwa nini?
ufe utuacha tunakula rahaNini ning'inia ufe
Raha rahaniufe utuacha tunakula raha
Rahani hadi alfajiri, HOPECOMFORT atakapo sikia jogoo akiwikaRaha rahani
Akiwika ndo huwa naacha kuuchapaRahani hadi alfajiri, HOPECOMFORT atakapo sikia jogoo akiwika
kuuchapa siku ya mwisho wa wiki unautaamu wakeAkiwika ndo huwa naacha kuuchapa
Wake wanamchanganya sana mzee yusuph na sadifakuuchapa siku ya mwisho wa wiki unautaamu wake