oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Utakuta mtu huyo ndiye anaeharibu mtiririko Wa Uzi Kule sie twaendelea mwambie arejee tena kule aone tunavyotiririka
Sasa mkuu si ungeumalizia kule kule?
Mchezo umechezwa Taifa, eti kipenga cha kumaliza mchezo kimepigwa Kirumba!
Mbona uwanja wa Kirumbi sisi tunafugia mbuziKirumba ni uwanja mzuri sanaa
tu ndo nini sasa, hebu wewe anzisha sentensi tuoneBaada ya posts 10,367 na views 343,107 nimeona kwamba huu mchezo umeendelea sana, leo nimeamua kuumaliza kwa jibu hapo chini. Ninatoa challenge kwa mtu yeyote kuendeleza zaidi ya hapo kwa kiswahili kinachoeleweka. La sivyo tukubali yaishe nitangazwe mshindi!!!!!!
Ulaya tu?
Mbona uwanja wa Kirumbi sisi tunafugia mbuzi
tu ndo nini sasa, hebu wewe anzisha sentensi tuone
Mwanza maisha yapo juu sanaMawazo alipigwa adi kufa huko Mwanza
Kwa nini yapo juu sana?Mwanza maisha yapo juu sana
Sana wapi!! Watu tu wanatungaKwa nini yapo juu sana?
Kwa nini yapo juu sana?
Tutusa
Tumbongele ndio inamaana ya njaaTu mbogele tumbogele tumbogele
Njaa inapokubana utahisi kizunguzunguTumbongele ndio inamaana ya njaa
Hapa kazi tu ni kauli mbiu iliyotikisa Afrika hadi kufikia matangazo ya biasharaMkuu hukusoma kiswahili nini? "Tu"ni kivumishi kinachotoa msisitizo juu ya neno linalotangulia, kwa mfano, "weka matone matatu tu", au "NI wale tu walio na kadi cha chama chetu ndio watafanikiwa kibisahara".
Hivyo nikiuliza "Ulaya tu?" ina maana hakuna nchi nyingine ambako vinyago vinauzwa bei mbaya?
Au unaweza kusema "Hapa kazi tu"
hahaa, ile gemu haiwezi pata mshindi kwa kua haina refa, labda tumwombe moderator mmoja awe refa, kuna jamaa alimalizia kwa kichina ila bado wakakichakachua!!Baada ya posts 10,367 na views 343,107 nimeona kwamba huu mchezo umeendelea sana, leo nimeamua kuumaliza kwa jibu hapo chini. Ninatoa challenge kwa mtu yeyote kuendeleza zaidi ya hapo kwa kiswahili kinachoeleweka. La sivyo tukubali yaishe nitangazwe mshindi!!!!!!
Ulaya tu?