oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Kinavutia wapi hivi kuna binadamu kweli anavutiwa na kiuno au ni story tu maana kuna mmoja hataki kushikwa kiuno nimemwona humu jfkweli? swali au jibu, kiuno chenye shanga ndio kinavutia
Kinavutia wapi hivi kuna binadamu kweli anavutiwa na kiuno au ni story tu maana kuna mmoja hataki kushikwa kiuno nimemwona humu jfkweli? swali au jibu, kiuno chenye shanga ndio kinavutia
Jf humu ni burudani kishenziKinavutia wapi hivi kuna binadamu kweli anavutiwa na kiuno au ni story tu maana kuna mmoja hataki kushikwa kiuno nimemwona humu jf
kishenzi tena?? hata nami niliiona hiyo post mshikaji anataka kushika kiuno lkn demu hatakiJf humu ni burudani kishenzi
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Hataki....!? Kamsemee kwao!kishenzi tena?? hata nami niliiona hiyo post mshikaji anataka kushika kiuno lkn demu hataki
Kwao hapajui
Hapajui ndiyo mana kakimbiaKwao hapajui
kakimbia kuliko hussein boltHapajui ndiyo mana kakimbia
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Bolt mimi simjuikakimbia kuliko hussein bolt
Nyuma yake tamu.Nut inafunguliwa anticlockwise direction na sio mbele nyuma
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Tamu tamu bendi ilikufa miaka kadhaa sasaNyuma yake tamu.
Sasa ni saa ngapi jamaniTamu tamu bendi ilikufa miaka kadhaa sasa
Sasa ni saa ngapi jamani
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Wangu sio wakoJamani nime mmisi mpenzi wangu
Wako ni wako sisi hatuusuWangu sio wako
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Hatuusu sio kiswahili sanifu hichoWako ni wako sisi hatuusu