HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Huko huko tu... Kwani we upajui
Napajua,napajue,napajui,napajuo,napajuuUpajui wewe mi napajua
Napajua,napajue,napajui,napajuo,napajuu
Sahihi,Sahoho,SahuhuNapajuu sio kiswahili sahihi
Sahihi ni kipi Heaven on earthNapajuu sio kiswahili sahihi
Tupu ni kiswahili kinachotumiwa sana na waislamu kumaanisha nyetiFaiza mkorofi akija hapa shida tupu
Fichwa fyenu fikubwa" lafudhi ya kinyakyusa hiyoNyeti!!!!! Unamaanisha sehemu fichwa
Pia Mshana Jr anaweza kutusaidia kumjua mshindi wa hii threadHiyo imekaa kama ya kimasai pia
Thread hii haina mshindi so mshana, mzizi mkavu na wengineo hawawezi labda yule Joshua mwenye TB majini yake makaliPia Mshana Jr anaweza kutusaidia kumjua mshindi wa hii thread