oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Ewura's jipu limevimba kama chura tayari kupembuliwa kama chuya za mpunga Wa chunyammoja wa watu hao ni wale jamaa wa ewura
Ewura's jipu limevimba kama chura tayari kupembuliwa kama chuya za mpunga Wa chunyammoja wa watu hao ni wale jamaa wa ewura
Chunya kuna jamaa yangu huko anapenda sana xEwura's jipu limevimba kama chura tayari kupembuliwa kama chuya za mpunga Wa chunya
X rated movies huwa zina maana ganiChunya kuna jamaa yangu huko anapenda sana x
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
gani zipo movie aina nyingi za wakubwa, huangalia usiku wa mananeX rated movies huwa zina maana gani
Gani inasound kama gun kwa kingereza etie?X rated movies huwa zina maana gani
Etie, et, at, aunt, ain't, hunt ni rhyming wordsGani inasound kama gun kwa kingereza etie?
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
words ni neno la kizungu au la kiswahili?Etie, et, at, aunt, ain't, hunt ni rhyming words
Kiswahili si ndiyo lugha iliyotukuzawords ni neno la kizungu au la kiswahili?
iliyotukuza kweli, mana hata BabaPrince umeweza kufuata mtiririko wa uziKiswahili si ndiyo lugha iliyotukuza
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app
Uzi umeanza kupata heshima toka kwa baba Princeiliyotukuza kweli, mana hata BabaPrince umeweza kufuata mtiririko wa uzi
Wapi na wapi kunguru kunyea mayai?Huyo uzungu anautoa wapi
Utulie nisije nikakukata.Dawa chungu kuliko zote ni muarobaini, kuunywa lazima utulie
kiuno ndio msingi wa mjiniNikukukata mtama lazima utenguke kiuno!
Kiuno kuvalishwa shanga hivi ni utamaduni wetu kweli?Nikukukata mtama lazima utenguke kiuno!
kweli? swali au jibu, kiuno chenye shanga ndio kinavutiaKiuno kuvalishwa shanga hivi ni utamaduni wetu kweli?
Sent from my HUAWEI G610-U20 using JamiiForums mobile app