Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Mjini ndiyo kila kitu
kitu kibaya zaidi ni pale wapuuzi wanapoharibu mtiririko wa huu uziMjini ndiyo kila kitu
Uzi huu unaendajeekitu kibaya zaidi ni pale wapuuzi wanapoharibu mtiririko wa huu uzi
Vinaabo wengi kama wewe wanaharibu mtiririko mzuri Wa Uzi huuUgali ni album bora ya kiroboto aka juma nature mzee wa vinaa
Huu ni ukweli kabisa wanaharibuVinaabo wengi kama wewe wanaharibu mtiririko mzuri Wa Uzi huu
Mazingira bana ni kitu cha ajabu kweli ona aliye tutengenezea haya mazingira ya mchezo tumecheza mwaka na ushee
Ama kitu gani bana... Ebu tuendelee
Gani gani kama mchezo wa watotoTuendelee ama tusiendelee unakumbuka hii mistari ya nyimbo gani
Manyonyo hunyonywa na watotoWatoto wa siku hizi huharaki kutoka manyonyo
Watoto ni Baraka, msiwaongelee vibayaManyonyo hunyonywa na watoto
Vibaya sana pale Mtu anapolipwa mil 36 na mwingine elfu 36 kwa mwezi mmojaWatoto ni Baraka, msiwaongelee vibaya
mmoja wa watu hao ni wale jamaa wa ewuraVibaya sana pale Mtu anapolipwa mil 36 na mwingine elfu 36 kwa mwezi mmoja