oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
Kwangu MCC Si lazima sema sanctions naziogopa sana zile zinaathari kubwa naomba tusifike hukoUlaya!!!! Nahisi kama ni neno ngeni kwangu
Kwangu MCC Si lazima sema sanctions naziogopa sana zile zinaathari kubwa naomba tusifike hukoUlaya!!!! Nahisi kama ni neno ngeni kwangu
Kabisa kwa kiswahili fasaha ina maana gani?Huko mi siwezi fika.. Kwanza sina idea kabisa
Gani?kwani kuna mashairi ya kugani hapa?Kabisa kwa kiswahili fasaha ina maana gani?
hapatikani mpaka halotel wafulie!Hapa panachosha bana... Mshindi hapatikani
Biskuti zinaozesha menoNice ni aina ya Biskuti
China ukienda macho juu utabambikiwa bidhaaBiskuti zinaozesha meno
kawaida unaona wewe ila waliodhani wanastahili ndo wana haha!Mkanganyiko upi? Mbona Mimi namuona wa kawaida
umenitisha pia ulipokuja kinyume na matarajio yanguHaha .....nikajua tunabishana kweli!!! Umenitisha
Tuseme umegive upYangu macho we endelea tu