kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,186
Maisha yanahitaji utulivu kuliko kukurupukakukurupuka ni sehemu ya maisha
Maisha yanahitaji utulivu kuliko kukurupukakukurupuka ni sehemu ya maisha
Kukurupuka kuba bomoa hakujengiMaisha yanahitaji utulivu kuliko kukurupuka
Hakujengi kabisa mkuu kabla ya kukurupuka ni vyema kutafakariKukurupuka kuba bomoa hakujengi
Kutafakari ni bora kuliko kukurupukaHakujengi kabisa mkuu kabla ya kukurupuka ni vyema kutafakari
Kukurupuka imetumika saana hapa kuanzisha sentensi mpaka inaboaKutafakari ni bora kuliko kukurupuka
Tunda lile walilokula Hawa na Adamu katika bustani ya Eden? Hapana...Kukuweka kwenye bustani utakula tunda.
Hapana kwanini mkuu?Tunda lile walilokula Hawa na Adamu katika bustani ya Eden? Hapana...
Mkuu lile tunda ni tamu sana laweza kukufanya ukapagawaHapana kwanini mkuu?
Inaboa kuona watu wanavunja utaratibu huu mzuri..!Kukurupuka imetumika saana hapa kuanzisha sentensi mpaka inaboa
Mzuri zaidi ya mke wangu bado sijaonaInaboa kuona watu wanavunja utaratibu huu mzuri..!
Sijaona maeneo ya kuvutia kama TanzaniaMzuri zaidi ya mke wangu bado sijaona
Tanzania panavutia maeneo machache na sio yote kama unabisha njoo DodomaSijaona maeneo ya kuvutia kama Tanzania
Dodoma ndio makao makuu ya nchi.Tanzania panavutia maeneo machache na sio yote kama unabisha njoo Dodoma
Nchi hii chini ya utawala wa magufuli itakuwa ya maziwa na asali..!!Dodoma ndio makao makuu ya nchi.
Nyuki ukifuga watakupatia asali ambayo itaiuza na utakidhi mahitajiAsali ya sukari guru au ya nyuki?
Iko juu sawa lakini itampunguzia ukaliMahitaji haitayosha kwa sasa vitu vingi bei iko juu
Iko juu sawa lakini itampunguzia ukali