Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,146
Chupi ninazozikubali ni VIPHuu uzi hauwezi shona chupi
Chupi ninazozikubali ni VIPHuu uzi hauwezi shona chupi
Dunia tunapita milima tu ndiyo itabakiaVIP tuko wachache katika uso huu dunia
Itatoweka kabisa milele?Itabakia ila nayo ikifika wakati wake itatoweka
Milele na milele nitaimba na kumsifu MuumbaItatoweka kabisa milele?
Muumba kwani lazima asifiwe kwa nyimbo?Milele na milele nitaimba na kumsifu Muumba
Huu sasa ujinga..!Nini??huu Uzi huu
Ujinga kabisa kuvamia uzi kwa kukurupuka kama kafumaniwa kama alivofanya huyu jamaaHuu sasa ujinga..!
Jamaa hapo ndio kakuna kichwa kaibuka na comment hiyo.msameheniUjinga kabisa kuvamia uzi kwa kukurupuka kama kafumaniwa kama alivofanya huyu jamaa
Hajielewi kweli mkuu ,au anajielewa ameamua kujitoa fahamuMsameheni kweli huyo jamaa hajielewi
Ajali ya nini mkuu isije kuwa bodaboda maana ajali zimekuwa nyingi sana.Fahamu zake zilipotea baada ya kupata ajali
Jamaa hovyo sana huyu ata sentensi zake za kuunga unga hasa..!Ujinga kabisa kuvamia uzi kwa kukurupuka kama kafumaniwa kama alivofanya huyu jamaa
Hasa kwa hizi comment zilizo mzungumzia atazichukua azifanyie kazi ili aache kukurupukaJamaa hovyo sana huyu ata sentensi zake za kuunga unga hasa..!
Maisha hayataki kukurupuka utajiharibia kabisakukurupuka ni sehemu ya maisha