Ukali wa nini?Iko juu sawa lakini itampunguzia ukali
Swaga za ushindi ni nyingi sana ndio maana natumia neno kukurupukaNini? anasema ni msisitizo wa swaga
Usingizi mtamu ni ule wenye ndoto nyevuKukurupuka ni kwa sababu nilipitiwa na usingizi
Usingizi mtamu ni ule wenye ndoto nyevu
Fulani ni kabila linapatikana kule afrika magharibiNyevu nyevu kwa msisitizo humaanisha pahala palipolowa baada ya kumwagiwa liquid fulani
Magharibi kwenye nchi ya NigeriaFulani ni kabila linapatikana kule afrika magharibi
Nigeria si ndiko anakotoka Ramsey Noah?Magharibi kwenye nchi ya Nigeria
Kitimoto ni haramu ila ni kitamu sananoah ni aina ya gari pia ni moja ya majina ya kitimoto
sana sana kule ArushaKitimoto ni haramu ila ni kitamu sana
Arusha ilikuwa nzuri sana ila Lema ameiharibu..!sana sana kule Arusha
Kakurupushwa na nani?maana namwogopa sana mtu wa kukurupukaKukurupuka sababu kakurupushwa
Ngumu ngumu sana kwa le billionaire lemutuz kushiriki kama video king ktk wimbo wa baba swalehe.Fumaniz yataka moyo labda uwe na roho ngumu