Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,249
- 3,070
Kuandika maandishi ya kichina inahitaji kipaji cha kusoma pia
Wazuri tu ndio chanzo cha magonjwa.Komborera niliicheza na mademu wazuri wazuri tu
Magonjwa yameisha..ooh hallelujahWazuri tu ndio chanzo cha magonjwa.
Oooh haleluyaaa nimeiona jumamosi ya tar 16/01/2016Magonjwa yameisha..ooh hallelujah
Tulivu kama maji ya mtungini16/01/2016 ni siku tulivu
Matamu maji ya kilimanjaro. .we hujui tuuMtungini kumetulia sana, ndo maana maji yake matamu
Tuu!!?? Mkuu ndo nini kuweka neno kama hilo mwishoni, au ndo unataka kuwa wa mwisho wakati uzi bado mbichiMatamu maji ya kilimanjaro. .we hujui tuu
Mbichi huu wa tangu mwaka juzi sijui mwaka majuzi?Tuu!!?? Mkuu ndo nini kuweka neno kama hilo mwishoni, au ndo unataka kuwa wa mwisho wakati uzi bado mbichi
Majuzi nliangalia uzi umeanza lini nkaona ni wa 2012Mbichi huu wa tangu mwaka juzi sijui mwaka majuzi?
2012?😱😳ndio nilikuwa chuo mwaka wa mwisho.Majuzi nliangalia uzi umeanza lini nkaona ni wa 2012
Mwisho wa huu uzi sijui lini maana sioni kama una dalili ya kuisha2012?😱😳ndio nilikuwa chuo mwaka wa mwisho.
Kuisha hauishi mkuu ww km vipi kubali mi ndio mshindi.ila hilo jina lako cjui ulilipataje ?Mwisho wa huu uzi sijui lini maana sioni kama una dalili ya kuisha
Ulilipataje kwani hilo lako mkuu? TuambianeKuisha hauishi mkuu ww km vipi kubali mi ndio mshindi.ila hilo jina lako cjui ulilipataje ?
Ulilipataje hilo jina la ajabu?Kuisha hauishi mkuu ww km vipi kubali mi ndio mshindi.ila hilo jina lako cjui ulilipataje ?
La ajabu kweliUlilipataje hilo jina la ajabu?