Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,146
Mchana mshindi hawezi patikana kamweKushinda kwenye huu uzi ni ndoto ya mchana
Mchana mshindi hawezi patikana kamweKushinda kwenye huu uzi ni ndoto ya mchana
Uhamiaji ni jipu sugu, inakiwa ifumuliwe yote isukwe upya.Kamwe wahamiaji haramu hawawezi kuisha nchini hadi pale Magufuli atakapotumbua jipu la uhamiaji.
Upya wa gari unafanya gari itoe kijiharufu fulani..!!Uhamiaji ni jipu sugu, inakiwa ifumuliwe yote isukwe upya.
Fulani ni kabila lipo Afrika Magharibi. Nilisoma historyUpya wa gari unafanya gari itoe kijiharufu fulani..!!
history ina kawaida ya kujirudiaFulani ni kabila lipo Afrika Magharibi. Nilisoma history
mzuri hakuna zaidi ya cleopatraHistoria ni mwalimu mzuri
Chuma tena? umelewa asubuhi yote hiiMweza ya mbao ya chuma?
hii kitu imenifanya mimi na The last don tuwe na mtazamo mmoja kuhusu cleopatraChuma tena? umelewa asubuhi yote hii
Clepatra mashuhuri sana, ila nasikia alikuwa bingwa wa kubadilisha mabwanahii kitu imenifanya mimi na The last don tuwe na mtazamo mmoja kuhusu cleopatra
mabwana wengi wenye vitambi hawawezi mamboClepatra mashuhuri sana, ila nasikia alikuwa bingwa wa kubadilisha mabwana
Mambo mambo na Radio Free Afrika..... kipindi nikipendacho ndani ya RFAmabwana wengi wenye vitambi hawawezi mambo
Mambo wanayaweza ni uridhikaji wa mabibimabwana wengi wenye vitambi hawawezi mambo
mabibi wenye pesa nao hawataki ndoaMambo wanayaweza ni uridhikaji wa mabibi
mabibi wenye pesa nao hawataki ndoa