Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

Mngekuwa mnaijua ki ukweli hi"presumption of innocence" msingetoa hukumu ya kuchoma makanisa na kuchinja watu waziwazi! au nyie mna haki ya kufanya hayo sio? unataka presemption of innocence at the same time your taking the law on your own hand! what parthetic ideas are you trying to bring about!

Kwa hiyo unashauri mahakama zivunjwe, tuwe na magereza tu? Ili ukituhumiwa tu kuwa umetenda kosa uteswe na kufungwa?
 
Hivi hawa watu ndio leo wanagundua kuwa kuna Human rights ktk kupigania madevu??? bull sh*t!! wakati wanaua na kuchoma makanisa na kutifua makaburi ya wakristu kule zenji walikuwa hawagundui kuwa wanaenda against the human rights laws! who the hell do they think they are?

Nimekuelewa, kumbe unachangia kama 'mkristo'! I thought tunachangia tukiwa kama wa TZ!
 
Nimekuelewa, kumbe unachangia kama 'mkristo'! I thought tunachangia tukiwa kama wa TZ!

Kitu gani kinachokufanya ufikirie kuwa nachangia kama mkristo! wacha mambo yako ya udini wewe, au sababu nimetaja makaburi ya wakristu? na yule askari waliyemuua naye pia alikuwa ni mkristu??
 
Kitu gani kinachokufanya ufikirie kuwa nachangia kama mkristo! wacha mambo yako ya udini wewe, au sababu nimetaja makaburi ya wakristu? na yule askari waliyemuua naye pia alikuwa ni mkristu??

Sasa huelewi nini hapo? Hoja iko very broad; Human rights violations kwa watuhumiwa! Unafumba macho na kujifanya una uchungu sana na makaburi na makanisa. Wewe unamjua aliyemuua askari? Uko tayari kwenda kuthibitisha mahakamani?
 
Ndio,zivunjwe na tusiwe na magereza wala nini sote tununue majambia na machetes!

quote_icon.png
By Bayana
Weka wazi kipimo cha ujinga
ulichotumia kupima ili watu wenye akili waamue ni nani mjinga! Naona
unahemka kwa chuki ulizokuwa naza. Kinachosemwa hapa i kuwa, hata kama
kuna mtu unamtuhumu ni muuaji, sheria inataka achukuliwe kama ni
mtuhumiwa na innocent mpaka itakapothibika otherwise. Wewe unapinga
nini?

Toa maoni kwenye tume ya katiba mpya kabla muda haujapita! Nashukuru kwa kutupatia kipimo cha kupima ujinga. Wenye akili sasa wataamua kama wewe umo humo au ni mwerevu!
 
quote_icon.png

By Bayana

Weka
wazi kipimo cha ujinga
ulichotumia kupima ili watu wenye akili waamue ni nani mjinga! Naona
unahemka kwa chuki ulizokuwa naza. Kinachosemwa hapa i kuwa, hata kama
kuna mtu unamtuhumu ni muuaji, sheria inataka achukuliwe kama ni
mtuhumiwa na innocent mpaka itakapothibika otherwise. Wewe unapinga
nini?

Toa maoni kwenye tume ya katiba mpya kabla muda haujapita! Nashukuru kwa
kutupatia kipimo cha kupima ujinga. Wenye akili sasa wataamua kama wewe
umo humo au ni mwerevu!

We usishabikie ujinga! angalia yalotokea Rwanda watu kama nyinyi ndo walianzisha visa vidogovidogo, na mwishowe ikawa majonzi makuu! na UN walikuwepo na hawakuwasaidia chochote! we endeleza ujinga wenu tu!
 
Amnest itawasaidia nini?

Atleast wewe unataka kujua!

[h=2]ABOUT AMNESTY INTERNATIONAL[/h]

Until every person can enjoy all of their rights, we will continue our efforts. We will not stop until everyone can live in dignity; until every person's voice can be heard; until no one is tortured or executed.
Our members are the cornerstone of these efforts. They take up human rights issues through letter-writing, online and offline campaigning, demonstrations, vigils and direct lobbying of those with power and influence.
Locally, nationally and globally, we join together to mobilize public pressure and show international solidarity.
Together, we make a difference.

Tunaweza kutafsiri kama lugha itakuwa ni tatizo, ila naamini kama a 'great thinker' utaelewa tu.
 
We usishabikie ujinga! angalia yalotokea Rwanda watu kama nyinyi ndo walianzisha visa vidogovidogo, na mwishowe ikawa majonzi makuu! na UN walikuwepo na hawakuwasaidia chochote! we endeleza ujinga wenu tu!

Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri, na inawezekana hata maana ya ujinga huijui. Wewe ambaye unataka watuhumiwa wa mauaji wanyongwe bila ya kusikilzwa kwa ushahidi ndio miongoni mwa hao waliochangia mauaji ya kimbari kule Rwanda. Mimi nasema alitechoma kanisa, aliyeua, aliyevunja kaburi akamatwe, apelekwe mahakamani. Ikithibitika kama ndivyo hivyo, hukumu itolewe, kama ni kufungwa au kunyongwa. Sasa wewe mahakama huzitaki,magereza hutaki ziwepo! Halafu, eti mimi ndio mjinga na wewe mwerevu! Aaaaaaaaaa, kweli akili ni za kuzaliwa sio za shule tu!
 
Sasa huelewi nini hapo? Hoja iko very broad; Human rights violations kwa watuhumiwa! Unafumba macho na kujifanya una uchungu sana na makaburi na makanisa. Wewe unamjua aliyemuua askari? Uko tayari kwenda kuthibitisha mahakamani?

Wafuasi wa uamsho ndio walimuua Polisi period. Na hao wanaolilia human rights ni viongozi wa Uamsho na kama Uamsho isingekuwepo ina maana yule askari asingeuliwa its clear in black and white na sielewi kitu gani kinachokikwaza kuelewa ktk hili.
 
Kinachonikwaza ni hiki:
Kule mahakamani wanasema ushahidi haujakamilika, kwa nini huendi kuwasaidia ikiwa ushahidi ni black and white?
 
Nina
mashaka na uwezo wako
wa kufikiri, na inawezekana hata maana ya ujinga huijui. Wewe ambaye
unataka watuhumiwa wa mauaji wanyongwe bila ya kusikilzwa kwa ushahidi
ndio miongoni mwa hao waliochangia mauaji ya kimbari kule Rwanda. Mimi
nasema alitechoma kanisa, aliyeua, aliyevunja kaburi akamatwe, apelekwe
mahakamani. Ikithibitika kama ndivyo hivyo, hukumu itolewe, kama ni
kufungwa au kunyongwa. Sasa wewe mahakama huzitaki,magereza hutaki
ziwepo! Halafu, eti mimi ndio mjinga na wewe mwerevu! Aaaaaaaaaa, kweli
akili ni za kuzaliwa sio za shule tu!

Tatizo wewe hutaki ukweli! mi nadhani ungezama kwanza ndani ya malengo
thabiti ya hao uamsho na si kuwachkulia kijuujuu! hawana dhamira njema
na mustakbali wa taifa letu! hebu naomba uniwekee kanuni, malengo na
miongozo ya wana uamsho nisome halafu tujadili vizuri bila jazba!
 
Hizo jumuiya (AMNEST et al) mara nyingi zinafanya kazi kule ambako kuna maslahi. Na kwa vile umetaja masheikh, sahau hiyo barua impact yake inaweza isiwepo kabisa kama vile haijawafika!

Hasa ukizingatia kuwa wazanzibari wengi wa UK na US ni wauza mihadarati, sahau kama kuna atakayepoteza muda.
 
Hasa ukizingatia kuwa wazanzibari wengi wa UK na US ni wauza mihadarati, sahau kama kuna atakayepoteza muda.

Hiki sicho kinachojadiliwa hapa (Mihadharati). Wapo wanaouza inawezekana lakini kwa sasa tunajadili human rigths violation in ZNZ!
 
Tatizo wewe hutaki ukweli! mi nadhani ungezama kwanza ndani ya malengo
thabiti ya hao uamsho na si kuwachkulia kijuujuu! hawana dhamira njema
na mustakbali wa taifa letu! hebu naomba uniwekee kanuni, malengo na
miongozo ya wana uamsho nisome halafu tujadili vizuri bila jazba!

Mimi huwa sijadili kwa jazba hoja yoyote ile, ndio maana sijakujibu kuwa na wewe ni mjinga, ingawaje umetumia hilo neno si chini ya mara tatu kila unapo niquote. Ni vizuri kuwajadili lakini napendekeza upost thread inayohusu hilo. Kwa sasa cha kujadili ni kuwa:

>>kama hawana dhamira njema na ikathibitika kuwa ni hivyo, sheria ufuate mkondo wake, kama ni kuifuta jumuia, kufunga viongozi n.k. Napingana na nadharia ya kumtesa mtuhumiwa ilhali hujathibitisha na kumhukumu. Wewe unakubali?
 
Hiki sicho kinachojadiliwa hapa (Mihadharati). Wapo wanaouza inawezekana lakini kwa sasa tunajadili human rigths violation in ZNZ!

We are also talking about those who filed a complaint. Human rights are being violated in Zanzibar to Zanzibaris, not to Zanzibaris who live in UK, US or whatever If there is a case to make, then let those who are in Zanzibar make it, they are more likely to be heard than a bunch of lads in Europe who enjoy most of human rights,
 
Mimi huwa sijadili kwa jazba
hoja yoyote ile, ndio maana sijakujibu kuwa na wewe ni mjinga, ingawaje
umetumia hilo neno si chini ya mara tatu kila unapo niquote. Ni vizuri
kuwajadili lakini napendekeza upost thread inayohusu hilo. Kwa sasa cha
kujadili ni kuwa:

>>kama hawana dhamira njema na ikathibitika kuwa ni hivyo, sheria
ufuate mkondo wake, kama ni kuifuta jumuia, kufunga viongozi n.k.
Napingana na nadharia ya kumtesa mtuhumiwa ilhali hujathibitisha na
kumhukumu. Wewe unakubali?

Kuteswaje? una ushahidi wa hilo? au kusema wamenyolewa madevu ndio mateso?!
 
Kinachonikwaza ni hiki:
Kule mahakamani wanasema ushahidi haujakamilika, kwa nini huendi kuwasaidia ikiwa ushahidi ni black and white?

Kule mahakamani wametoa ushahidi wa utosha na wala hawanihitaji mimi, na ni labda walifumbie macho hili na kwa taarifa yako pia wakati wanatifua makaburi mimi mwenyewe nilikuwapo na nilishuhudia kwa macho yangu vile sikupata wazo la kuwapiga picha. NA WALIKUWA NI WAFUASI WA UAMSHO.
 
Kuteswaje? una ushahidi wa hilo? au kusema wamenyolewa madevu ndio mateso?!

Haya maswali mazuri na ndio namna ya kujadliana: Madai ya mambo yanayofanywa wakiwa mahabusu ni kama:

1) Kulazwa sakafuni
2) Kuzuiwa kupelekewa chakula kutoka nyumbani wakati wengine wanatakiwa kupata special meals for health reasons
3) Kuzuiwa kubadilisha ngua tangu wapelekwe rumande n.k

In summary hizo ni haki za mtu akiwa mahabusu. Ushahidi wa hilo ni wao wenyewe na mawakili wao ambao wamekuwa wakizungumza na waandishi wa habari kila kesi inapotajwa.
 
Back
Top Bottom