Mrs none
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 557
- 987
Usile chakula changuhufanyi kazi na usile
Usile chakula changuhufanyi kazi na usile
Changu chako chak0 changu lazima tuonjeUsile chakula changu
Tuonje kwa upendoChangu chako chak0 changu lazima tuonje
Upendo ni kitu muhimu sanaTuonje kwa upendo
Sana nakuthamini moyoniUpendo ni kitu muhimu sana
Moyoni mwangu kuna upendo wa kutoshaSana nakuthamini moyoni
kutosha kiasi cha kugawia wengineMoyoni mwangu kuna upendo wa kutosha
Wengine hakuna yupo mmoja tu mkuu usinifukuzie ndege 😅😅kutosha kiasi cha kugawia wengine
Ndege anatua kwenye mti aupendaooWengine hakuna yupo mmoja tu mkuu usinifukuzie ndege 😅😅
Aupendao?Ndege anatua kwenye mti aupendaoo
Aupendio? Sijakuelewa mkuu ongeza nyamaAupendao?
nyama nyingi sio nzuri kiafyaAupendio? Sijakuelewa mkuu ongeza nyama
Nyama ya kenge unakula.Aupendio? Sijakuelewa mkuu ongeza nyama
Kiafya.kama nyama gani.nyama nyingi sio nzuri kiafya
Gani nyama unayoipendelea zaidi?Kiafya.kama nyama gani.
Zaidi ya Mbuzi, nyingine sipendi!Gani nyama unayoipendelea zaidi?
Sipendi nyama ya kondooZaidi ya Mbuzi, nyingine sipendi!
Kondoo sijawahi kuonja nyama yake toka nimezaliwa!Sipendi nyama ya kondoo
Nimezaliwa nimekuta nyumbani baba anafunga kondoo wa kuuzaKondoo sijawahi kuonja nyama yake toka nimezaliwa!
kuuza nyama au kondoo mzima mzima?Nimezaliwa nimekuta nyumbani baba anafunga kondoo wa kuuza