Mrs none
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 557
- 987
Watasemehewa viongozi watakaotubuToba ni muhimu sana hasa kwa viongozi wa mafisiemu ila sidhani kama watasamehewa
Watasemehewa viongozi watakaotubuToba ni muhimu sana hasa kwa viongozi wa mafisiemu ila sidhani kama watasamehewa
Watakaotubu ndiyo wataurithi ufalme wa Mungu.Watasemehewa viongozi watakaotubu
Letu ndio maana tuna balikiwa kuwa na vyenye afya na amaniMungu ndiye tumaini letu
Jamii ikikukataa jua maisha yatakua ya upwekeAmani na upendo vinahitajika katika jamii
Mauti ni mwanzo wa maisha mapyaUpweke hutafuna nafsi hatimae huleta mauti
Yamezoeleka kutoka kwa wengine ila omba yasikupate utasaga menoMapya hushangaza machoni, lakini ya zamani yamezoeleka
Wote tulikuwepo tukishuhudia yule jamaa alivokoswa kufumaniwaMeno ya fisi na mamba ni thabiti kuliko ya viumbe wote
Mjeda anachukuliwa kuwa mtu mtata ila ni mtu poa sanaKufumaniwa ni balaa. Hasa ufumaniwe na mke wa mjeda 😀
Majuto mara nyingi ni matokeo ya kukataa ushauri uliopewa na wakubwa zakoSANA. Ila ukijichanganya kwenye 18 zao ni majuto
Wapuuzi sio watu wazuri kabisaWakubwa zako daima ni walimu wazuri. Lakini bahati mbaya kuna baadhi ya wakubwa ni wapuuzi
Kabisa wewe ni kengeWapuuzi sio watu wazuri kabisa
Kenge tena kwanini mkuuKabisa wewe ni kenge