Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,139
- 9,553
nipe jina la movie kali mkuuNipo gudi mkuu
nipe jina la movie kali mkuuNipo gudi mkuu
Mkuu tizama POWER au BMFnipe jina la movie kali mkuu
BMF ndio first choice kwangu aanze na hiyoMkuu tizama POWER au BMF
Hiyo nimemtajia tu ila kwa sasa nipo kwenye power na season ya kinaKENYA,BIGFISH,KENNY na FAMOUS.BMF ndio first choice kwangu aanze na hiyo
Famous sijawahi kuicheki, inahusu niniHiyo nimemtajia tu ila kwa sasa nipo kwenye power na season ya kinaKENYA,BIGFISH,KENNY na FAMOUS.
Nini?wewe unaonekana hukuitizama POWER eeh.Famous sijawahi kuicheki, inahusu nini
eeh kweli power sijawahi kuiona hapo nimeiona bmf tu kwenye hio listNini?wewe unaonekana hukuitizama POWER eeh.
Jurassic World Rebirthnipe jina la movie kali mkuu
List ya movie za crime,dramas,drugs,leadership n.k kama ilivyo BMF huwezi kuikosa POWER,THE LINCOLN LOWYER,CROSS,PRISON BREAK,NCIS,NARCOS,EL CHAPO,TOP BOY,TRAFFIK,THE AMERICANS na nyingine nyingi.eeh kweli power sijawahi kuiona hapo nimeiona bmf tu kwenye hio list
Duh! Umechanganya hapo hizo ni series sio movieList ya movie za crime,dramas,drugs,leadership n.k kama ilivyo BMF huwezi kuikosa POWER,THE LINCOLN LOWYER,CROSS,PRISON BREAK,NCIS,NARCOS,EL CHAPO,TOP BOY,TRAFFIK,THE AMERICANS na nyingine nyingi.
@doshoanahitaji series mkuu ndio mana aliitaja BMDDuh! Umechanganya hapo hizo ni series sio movie
BMF, snowfall, peaky blinders, breaking bad, the jackal na Mobland ndiyo series nilizo zikubali sana kwenye hyo genre ya crime na drugs , huwa naangalia sana za adventure/fantasy, drama, thriller/mystery, na sci-fi@doshoanahitaji series mkuu ndio mana aliitaja BMD
Oyee, haya bwana 😅😅Ccm oyee
Bwana wangu ana mpago wa kunijengea mansion😁Oyee, haya bwana 😅😅
Mansion, duh iceberg anajua hizi taarifa 😁😁😁Bwana wangu ana mpago wa kunijengea mansion😁
Taarifa ni kwamba yeye ndo atanijengeaMansion, duh iceberg anajua hizi taarifa 😁😁😁
Atanijengea ni kauli uliyoisema hivyo nitakuamini kwa kuwa we ndo umesemaTaarifa ni kwamba yeye ndo atanijengea
Umesema lakini hufanyiAtanijengea ni kauli uliyoisema hivyo nitakuamini kwa kuwa we ndo umesema
hufanyi kazi na usileUmesema lakini hufanyi