Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 209
- 121
Mzima kabisa ni lazima umchinje umuonje ujue ladhakuuza nyama au kondoo mzima mzima?
Mzima kabisa ni lazima umchinje umuonje ujue ladhakuuza nyama au kondoo mzima mzima?
Ladha yake nasikia tamu sana.je inafanana na ya nguruwe.Mzima kabisa ni lazima umchinje umuonje ujue ladha
Nguruwe kaingiaje kwenye haya mazungumzo.Ladha yake nasikia tamu sana.je inafanana na ya nguruwe.
Mazungumzo yanaenda taratibuNguruwe kaingiaje kwenye haya mazungumzo.
Taratibu ni jina jingine la Pole Pole anakichafua Mtandaoni.Mazungumzo yanaenda taratibu
Mtandaoni Kuna mambo mengiTaratibu ni jina jingine la Pole Pole anakichafua Mtandaoni.
Mtandaoni utajifunza mambo mengi yatakayo kusaidia katika maisha yako na kizazi chakoTaratibu ni jina jingine la Pole Pole anakichafua Mtandaoni.
Chako ndiyo kitakacho kusaidiana baadaeMtandaoni utajifunza mambo mengi yatakayo kusaidia katika maisha yako na kizazi chako
Baadaye unakutana na maisha tofauti na ulivyodhaniaChako ndiyo kitakacho kusaidiana baadae
Ulivyodhania sivyo ilivyoBaadaye unakutana na maisha tofauti na ulivyodhania
Ilivyo ni zaadi ya mategemeo yakoUlivyodhania sivyo ilivyo
Yako mahaba yamenigusa moyoniIlivyo ni zaadi ya mategemeo yako
Moyoni mwangu umejaa wewe tuYako mahaba yamenigusa moyoni
Tuendelee na mpango wetu wa kupendananaMoyoni mwangu umejaa wewe tu
Kupendana na wewe ndio jambo bora duniaTuendelee na mpango wetu wa kupendanana
Jehanamu wadau wengine wanasema ni scam haijawahi na haipoDunia bila amani ni jehanamu
Haipo jehannamu kwa wenye tobaJehanamu wadau wengine wanasema ni scam haijawahi na haipo
Toba ni muhimu sana hasa kwa viongozi wa mafisiemu ila sidhani kama watasamehewaHaipo jehannamu kwa wenye toba
Watasamehewa tu endapo watakiri kuturudishia rasilimali zetu walizochukua....Toba ni muhimu sana hasa kwa viongozi wa mafisiemu ila sidhani kama watasamehewa