mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,685
- 2,339
Mbayaa au mbaya ni wew utakavo elewa ujumbe umefikaMbayaa au mbaya
Mbayaa au mbaya ni wew utakavo elewa ujumbe umefikaMbayaa au mbaya
😂😂😂😂Mbayaa au mbaya ni wew utakavo elewa ujumbe umefika
😂😂😂😂 inafurahisha sana😂😂😂😂
Sana tu tena, sema people wanapotea sometimesHatari sana
Sometimes inabidi niwe mpole tuSana tu tena, sema people wanapotea sometimes
Tu, tu, tu, tu, daah hiki kigugumizi hadi kwenye kutype kinanisumbua... Em naomba nifikishe salamu zangu za dhati kwa hawa watuSometimes inabidi niwe mpole tu
Hi, umetokea wapi
???Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni sana)
KwenuHi, umetokea wapi
Kwenu wapi hukoKwenu
Mrs?Kwenu
Mrs? Sijakuelewa mkuuMrs?
Nilitaka kufaham ni Mrs naniMrs? Sijakuelewa mkuu
Mbona kama unakuja vibaya user?Kwenu
😅😅 samahani Mkuu angalia masharti ya game la kwenye uziNilitaka kufaham ni Mrs nani
Uzi nitakeft tu mm, watu jau kwel😅😅 samahani Mkuu angalia masharti ya game la kwenye uzi
Kwel wanaanza kuharibu mashartiUzi nitakeft tu mm, watu jau kwel
Mrs?