Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,690
- 5,661
Swali kaulize GoogleSasa Jobless_Billionaire naomba nikuulize swali
Swali kaulize GoogleSasa Jobless_Billionaire naomba nikuulize swali
Makamasi bado unafuta mpaka saiviAlieandika hii thread ni mwaka 2012 , Kipind nafuta makamasi 😂😂🙌🙌
Saivi uzi unaenda slow sio kama zamaniMakamasi bado unafuta mpaka saivi
Zamani za kale tulikua tunaishi uchiSaivi uzi unaenda slow sio kama zamani
Uchi wa sasaivi ni tofautiZamani za kale tulikua tunaishi uchi
Tofauti kati ya utajiri na umasikini ni nini, jibu kwa kutumia TakadiniUchi wa sasaivi ni tofauti
Takidini ni Kitabu cha Fom 3 kilichoandikwa na Ben j. HansonTofauti kati ya utajiri na umasikini ni nini, jibu kwa kutumia Takadini
Hanson ni jina la babu yake kumbe nilikuwa sijuiTakidini ni Kitabu kilichoandikwa na Ben j. Hanson
Sijui sasa kama tundu lissu ataachiwa huruHanson ni jina la babu yake kumbe nilikuwa sijui
Huru ni hali ya kutokuwa kizuiziniSijui sasa kama tundu lissu ataachiwa huru
Kizuizini ni swala l mdaHuru ni hali ya kutokuwa kizuizini
10 siyo kweliMda hii thread inaandikwa nilikuwa na miaka 10
Hii thread imeandikwa 2012 😄 miaka kumi na tatu iliyopita10 siyo kweli
Iliyopita ni ngumu kuitumia kwenye huu mchezoHii thread imeandikwa 2012 😄 miaka kumi na tatu iliyopita
Mchezo huu hauitajii hasiraIliyopita ni ngumu kuitumia kwenye huu mchezo
Hasira mara nyingi ni hasara.Mchezo huu hauitajii hasira
Hasara ni mbayaaHasira mara nyingi ni hasara.
Mbayaa au mbayaHasara ni mbayaa