Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,903
- 9,916
Uhalisia kivipi, mbona watu wananufaikaMkuu sikupingi ila ndo uhalisia
Uhalisia kivipi, mbona watu wananufaikaMkuu sikupingi ila ndo uhalisia
Wananufaika kwa upigaji, vinginevyo hawapati kituUhalisia kivipi, mbona watu wananufaika
Kitu tunachozungumzia ndio hicho sasaWananufaika kwa upigaji, vinginevyo hawapati kitu
Sasa Jobless_Billionaire naomba nikuulize swaliKitu tunachozungumzia ndio hicho sasa
Swali uliza kwa yeyoteSasa Jobless_Billionaire naomba nikuulize swali
Hapa sizani kama kuna mtu anajua, labda mkuu Maxence MeloYeyote anaejua tajiri wa JF kidukulilo alipo, alete majibu hapa
Maxence Melo ni kijana mpambanaji sanaHapa sizani kama kuna mtu anajua, labda mkuu Maxence Melo
Hiyo hajui labda comrade invincible...Hapa sizani kama kuna mtu anajua, labda mkuu Maxence Melo
Kisogo tena?Unguja nilikutana na chawa lodge nikaogopa kuvuka maji kwenda Pemba kwani komo likoje mi Nina kisogo
Tuendelee kunywa mchuzi, nyama tutazikuta chiniMpemba nishamwelewesha tayari tuendelee
Chini pia panaweza pasiwe na nyama, ndoano ni muhimuTuendelee kunywa mchuzi, nyama tutazikuta chini
Sawa, nimelewa nashukurru kwa kunifahamisha mukhtadhaKisogo tena?
Yaani iko hivi, unatakiwa umjibu mtu kwa kuanza na neno la mwisho ambalo yeye kamalizia kwenye post au comment yake, mfano saivi we nijibu kwa kuanza na neno sawa
Muktadha ukieleweka basi hata kama ni wanafunzi wako watafaulu vizuriSawa, nimelewa nashukurru kwa kunifahamisha mukhtadha
Vizuri sana kwa kumuelewesha, kunywa pepsi baridiMuktadha ukieleweka basi hata kama ni wanafunzi wako watafaulu vizuri
Baridi kali mno saivi, wacha nitunze baadae nitakunywaVizuri sana kwa kumuelewesha, kunywa pepsi baridi