Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
Nitakunywa maji tu, hiyo pepsi kuywa wewe mkuuBaridi kali mno saivi, wacha nitunze baadae nitakunywa
Nitakunywa maji tu, hiyo pepsi kuywa wewe mkuuBaridi kali mno saivi, wacha nitunze baadae nitakunywa
Mkuu basi acha tu ninywe, karibu tunywe woteNitakunywa maji tu, hiyo pepsi kuywa wewe mkuu
Wote na naniMkuu basi acha tu ninywe, karibu tunywe wote
mdogo mdogo karibia hapa Oxygen Grocery Tupoze kooMkuu wapi hapo nisogee mdogo mdogo
Tanzania umasikini unasabishwa na siasa za CCM, maamuzi ya kisiasa huwa Yana pande mbili chanya na hasi kwa Tanzania hasi ndiyo mpango mzimaZaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania.
Koo lishapoa kwa supu na chapati za asubuhimdogo mdogo karibia hapa Oxygen Grocery Tupoze koo
Asubuhi hii magazeti yanasemaje upande wa Jamhuri?Koo lishapoa kwa supu na chapati za asubuhi
Jamhuri kiwelu au jamhuri yupiAsubuhi hii magazeti yanasemaje upande wa Jamhuri?
Tanzania haina jipya mambo yale yaleJamhuri ya Tanzania
Kichwa cha kobe kipo ndani ya jumba lakeWanawake wazuri sio sumbua kichwa
Lake jumba ni silaha pia katika AtariiKichwa cha kobe kipo ndani ya jumba lake
Hatari ipo kwa hawa wanaosumbua nchiLake jumba ni silaha pia katika Atarii
Nchi imeoza hii achana nayo twenzetu SwitzerlandHatari ipo kwa hawa wanaosumbua nchi
Switzerland ni nchi ya ndoto yanguNchi imeoza hii achana nayo twenzetu Switzerland