dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,736
- 10,002
hovyo hovyo maneno yanawatoka bila kufikiriaSana sana utaonekana wa maana katika jamii ukiwa na pesa hata kama unamatendo ya hovyo
hovyo hovyo maneno yanawatoka bila kufikiriaSana sana utaonekana wa maana katika jamii ukiwa na pesa hata kama unamatendo ya hovyo
Kufikiria wanakojua wao ni kuhusu ngonohovyo hovyo maneno yanawatoka bila kufikiria
Ngono zembe inauaKufikiria wanakojua wao ni kuhusu ngono
Inaua lakini ni tamuNgono zembe inaua
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni sana)
Mimi nimeuliza tu, nikajua lengo la uzi limebadirika.Tena nikwambie, Faana ndiye kaleta hio picha, sio mimi
Limebadilika kivipi sasaMimi nimeuliza tu, nikajua lengo la uzi limebadirika.
Sasa huyo aliyeleta ndio mumkamateLimebadilika kivipi sasa
Mumkamate nyinyi mnaoona kazinguaSasa huyo aliyeleta ndio mumkamate
Kazingua yule na mwingine tena, hata wafanyaje hamtawaona hapaMumkamate nyinyi mnaoona kazingua
Hapa kuna nini tenaKazingua yule na mwingine tena, hata wafanyaje hamtawaona hapa
Tena bora ulivyokuja....kuna mtu kaingiza picha isiyoendana na mada husikaHapa kuna nini tena
Yatakuponza sawa lakini kama yana manufaa ishi humo..Husika kwenye mambo mema, mambo mabaya yatakuponza
Humo hapafai kabisaYatakuponza sawa lakini kama yana manufaa ishi humo..
Kabisa na wewe unanipinga mkuu?Humo hapafai kabisa
Mkuu sikupingi ila ndo uhalisiaKabisa na wewe unanipinga mkuu?