Dkisaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2018
- 907
- 2,619
Ipite siku sijachungulia JF ni uongoKabisa, nikipata fursa ya kwenda huko sitaiacha ipite
Ipite siku sijachungulia JF ni uongoKabisa, nikipata fursa ya kwenda huko sitaiacha ipite
Watu siku hizi wanapenda uongo kuliko ukweli mchunguUongo ni kile kitendo cha kudanganya watu
Faida tu, hasara ahh😂Mchungu siku zote ndiye mwenye faida
aah😂 unacheka nin?Faida tu, hasara ahh😂
Nin? Unanchekesha we jamaa😅aah😂 unacheka nin?
Jamaa ako anazingua, kazi kuchekacheka kama😂😂Nin? Unanchekesha we jamaa😅
Kama ni kucheka cheka kiainaJamaa ako anazingua, kazi kuchekacheka kama😂😂
Kiaina flani hivi kama unatabasamu vileKama ni kucheka cheka kiaina
Vile Thread inavyokwenda inaonekana watu wameishiwa manenokian
Kiaina flani hivi kama unatabasamu vile
Kwasasa mimi ndio wa mwishoHuu uzi ufungwe ili nishinde leo, maana coment yangu ndo yamwisho kwasasa
Hapana mimi ndo wa mwisho mkuuKwasasa mimi ndio wa mwisho
Mkuu mimi ndio nimefunga dimbaHapana mimi ndo wa mwisho mkuu
Mkuu mimi ndio nimefunga dimba
Mkuu nakusalutiHuwezi kunishinda kirahisi, ushindi ni wangu Mkuu
Nakusaluti ndo kiswahili ganiMkuu nakusaluti
Gani hasa lililokusukuma kusema hivyo?Nakusaluti ndo kiswahili gani