State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 609
- 1,426
Yangu yangu ,yako yangu.Switzerland ni nchi ya ndoto yangu
Yangu yangu ,yako yangu.Switzerland ni nchi ya ndoto yangu
Yangu ni yako au sio! Tutaona safari hii sasaYangu yangu ,yako yangu.
safari hii sasa itakuwa zaidi ya Jana...Yangu ni yako au sio! Tutaona safari hii sasa
Jana tuliwarekebisha kuhusu huu mchezo.safari hii sasa itakuwa zaidi ya Jana...
Kwanza anywe chai kisha aje aendelee na mchezo kwa kufuata utaratibuJana tuliwarekebisha kuhusu huu mchezo.
Unaanza na neno la mwisho.
Hapo ungeanza na sasa.
Umekunywa chai kwanza?
Utaratibu ni ule ule, ukikaidi utapigwa tu!Kwanza anywe chai kisha aje aendelee na mchezo kwa kufuata utaratibu
tu! Na faini utatoa piaUtaratibu ni ule ule, ukikaidi utapigwa tu!
Pia yawezekana hata mwaka usiishetu! Na faini utatoa pia
Usiishe sababu ya watu wasiofata utaratibu hii haijawahi tokeaPia yawezekana hata mwaka usiishe
Tokea Dunia iumbwe, sijawahi kumuona mwanajeshi albinoUsiishe sababu ya watu wasiofata utaratibu hii haijawahi tokea
Albino hawezi kwenda vitaniTokea Dunia iumbwe, sijawahi kumuona mwanajeshi albino
Vitani kuna nini mpaka asiende yeye?Albino hawezi kwenda vitani
yeye kwenye jua anapata tabu labda awe mwanajeshi wa sehemu zenye baridiVitani kuna nini mpaka asiende yeye?
Baridi miaka yote?yeye kwenye jua anapata tabu labda awe mwanajeshi wa sehemu zenye baridi
Hewa nzuri kwangu ni baridi na nchi yenye hio hali ni norwayBaridi miaka yote?
Nchi gani ina hali hiyo ya hewa?
Norway, Finland nchi zangu pendwa kabisaHewa nzuri kwangu ni baridi na nchi yenye hio hali ni norway
Kabisa ata mm huwa napapendaNorway, Finland nchi zangu pendwa kabisa
Kabisa, nikipata fursa ya kwenda huko sitaiacha ipiteNorway, Finland nchi zangu pendwa kabisa
Ipite tu kwa kweli kama mimi ninavyopita hapa kwenda kunywa chaiKabisa, nikipata fursa ya kwenda huko sitaiacha ipite
Napapenda pia nikipata fursa ya kwenda sitaacha ipiteKabisa ata mm huwa napapenda