Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,438
Yetu ni yaleyale, akizingua...tunamzinguaWetu mtaa ikiwa na maana usalama wake upo juu yetu
Yetu ni yaleyale, akizingua...tunamzinguaWetu mtaa ikiwa na maana usalama wake upo juu yetu
Tunamzingua kibongobongoYetu ni yaleyale, akizingua...tunamzingua
Kibongobongo ni nguma sana kutoboa maishani bila uchawiTunamzingua kibongobongo
Tunamzingua yoyote yule anayefuatilia mambo yasiyomhusuYetu ni yaleyale, akizingua...tunamzingua
Kibongobongo maisha hayahitaji Sana shuleTunamzingua kibongobongo
Uchawi wa maeneo ndo hatari sana kuliko wa kupaa na ungoKibongobongo ni nguma sana kutoboa maishani bila uchawi
Uchawi ni sayansi iliyokificha ambapo ni vigumu kuielezeaKibongobongo ni nguma sana kutoboa maishani bila uchawi
Ungo wangu wa kupetea mtama sijui nani kauweka juu ya paaUchawi wa maendeleo ndo hatari sana kuliko wa kupaa na ungo
Shule ya kazi gani wakati shule yenyewe ni kaziKibongobongo maisha hayahitaji Sana shule
Kazi yangu inanipa wakati mgumu wa kufanya maamuziShule ya kazi gani wakati shule yenyewe ni kazi
Maamuzi tutaweza kufanya mimi na wewe tu. Tahadhali nikushirikisheKazi yangu inanipa wakati mgumu wa kufanya maamuzi
Maamuzi ya MTU wa mila 30+ yanabidi kufanyika kwa umakini kuliko MTU wa 20+ maana ukipoteza hela ukiwa na 30+ itaharibu Afya yako ya akili na mwiliKazi yangu inanipa wakati mgumu wa kufanya maamuzi
Mwili usipotunzwa vyema ujanani utakupa shida kubwa uzeeniMaamuzi ya MTU wa mila 30+ yanabidi kufanyika kwa umakini kuliko MTU wa 20+ maana ukipoteza hela ukiwa na 30+ itaharibu Afya yako ya akili na mwili
Uzeeni kwenyewe watu wengine hawakupendiMwili usipotunzwa vyema ujanani utakupa shida kubwa uzeeni
Hawakupendi ukiwa masikini ila ukiwa na hela wanakugombaniaUzeeni kwenyewe watu wengine hawakupendi
Wanakugombania mpaka utajutaHawakupendi ukiwa masikini ila ukiwa na hela wanakugombania
Utajuta kuzaliwa😁😁😁Wanakugombania mpaka utajuta
Kuzaliwa nchi kama hii ya TzUtajuta kuzaliwa😁😁😁
Tz jau sanaKuzaliwa nchi kama hii ya Tz