Kweli shughuli ipo.
Ipo wapi?Kweli shughuli ipo.
Ambapo hulali.Ipo wapi?
Mkuu hujasoma uzi unataka niniAmbapo hulali.
Huyo kalalaMtani wangu huyo
.Mida ya kumalizia siku kuu hii. Tukalale sasa
Sasa asipokuja itakuwaje?Mida ya kumalizia siku kuu hii. Tukalale sasa
Itakuaje kwani hujui? Mwenyeji wetu unataka kujifanya mgeni 😊Sasa asipokuja itakuwaje?
Mgeni ni yule mwenye kamba mguuni au?Itakuaje kwani hujui? Mwenyeji wetu unataka kujifanya mgeni 😊
Au asiyeujua mtaa... Sio lazima awe na kambaMgeni ni yule mwenye kamba mguuni au?
Kamba lazima iwepo ili kuutambulisha mtaa kuwa yeye si mwenyeji maeneo hayo...Au asiyeujua mtaa... Sio lazima awe na kamba
Hayo maeneo sio salama sababu vibaka wa mtaa watatambua ni mgeni hivyo kufanya maisha yake yawe hatariniKamba lazima iwepo ili kuutambulisha mtaa kuwa yeye si mwenyeji maeneo hayo...
Hatarini kivipi wakati kataka mwenyewe kuja mtee wetu?Hayo maeneo sio salama sababu vibaka wa mtaa watatambua ni mgeni hivyo kufanya maisha yake yawe hatarini
Wetu mtaa ikiwa na maana usalama wake upo juu yetuHatarini kivipi wakati kataka mwenyewe kuja mtee wetu?