Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Gurudumu hilo mmeachiwa wakuu, mshindwe wenyewe
Wenyewe nao usishangae wakaogopa kulisukuma.
Gurudumu hilo mmeachiwa wakuu, mshindwe wenyewe
Kulisukuma watalisukuma tu, wakuu wa humu hawawezi kukubali mtu awe wa mwisho kirahisi hiviWenyewe nao usishangae wakaogopa kulisukuma.
!dawa!..naona kwa mwendo huu wa mwisho ni ndoto tukutane 2020 naamini huu uzi utakuwa unaendelea .
Apatikane ili alipwe nini?!
!
Unaendelda na kuendelea mpaka mshindi apatikane.
Mshindi ni sabuni ya mche.!
!
Nini maana ya mshindi
Mche wa sabuni sikuhizi umepanda bei sana, tofauti kabisa na zamaniMshindi ni sabuni ya mche.
party yakunipongeza mimi kuwa mshindi wa huu uzi😎Mwisho wa huu Uzi itabidi Jf wafanye party
UZI kila nikiusoma naishia kuchekaparty yakunipongeza mimi kuwa mshindi wa huu uzi😎
Kucheka hata mi huwa nacheka sana yaniUZI kila nikiusoma naishia kucheka
Hatarii kweli mkuu, hata mimi namjua huyoYani Tseng ni Taiwanese professional golfer hatarii!!
Huyo rango kwenye avatar yako mwanangu anampenda sanaHatarii kweli mkuu, hata mimi namjua huyo
Sana sana rango anapendwa zaidi na watoto, mimi ingawa ni mtu mzima ila rango nampenda pia na huwa sichoki kumuangaliaHuyo rango kwenye avatar yako mwanangu anampenda sana
Kumuangalia namuangaliaga kidogo tuuSana sana rango anapendwa zaidi na watoto, mimi ingawa ni mtu mzima ila rango nampenda pia na huwa sichoki kumuangalia