Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
Dhambi tunazitenda kwa makusudi kabisaMotoni sio sehemu nzuri kabisa, ila basi tu wanadamu tunajisahau na kuendelea kufanya dhambi
Dhambi tunazitenda kwa makusudi kabisaMotoni sio sehemu nzuri kabisa, ila basi tu wanadamu tunajisahau na kuendelea kufanya dhambi
Kabisa mkuu, tunajua kabisa kufanya vitu flani ni dhambi ila bado tunafanyaDhambi tunazitenda kwa makusudi kabisa
tunafanya kwa sababu tunapenda na kupuuza kama nizambiKabisa mkuu, tunajua kabisa kufanya vitu flani ni dhambi ila bado tunafanya
Nizambi hizo hizo zitakazopeleka wanadamu kwenye moto wa mileletunafanya kwa sababu tunapenda na kupuuza kama nizambi
milele mungu anatupenda sema sisi wanadamu tunakuwa wakaidiNizambi hizo hizo zitakazopeleka wanadamu kwenye moto wa milele
Wakaidi hawatafaidi mpaka sikukuu ya iddmilele mungu anatupenda sema sisi wanadamu tunakuwa wakaidi
Iddi el fitr inatarajiwa kua tarehe 7 july, ila itategemea kuonekana kwa mweziWakaidi hawafaidi hata siku ya iddi
Mwezi huu ni mtata sanaIddi el fitr inatarajiwa kua tarehe 7 july, ila itategemea kuonekana kwa mwezi
Sana yani, pesa huwa inakua adimu kupatikana afu majukumu mengiMwezi huu ni mtata sana
Sana yani, pesa huwa inakua adimu kupatikana afu majukumu mengi
Shabaash magari mabovuMajipu yakoo unategemea utumbuliwe na mwenzakoo
Hujielwi wewee shabaaaaash
Sentensii au sentensi?Mabovu ni neno gumu kuanzishia sentensii
Freemason ni genge la wakubwa.